Steve Nyerere (@stevenyerere2) 's Twitter Profile
Steve Nyerere

@stevenyerere2

ID: 1259907777415319552

calendar_today11-05-2020 18:06:50

17 Tweet

178 Followers

417 Following

Steve Nyerere (@stevenyerere2) 's Twitter Profile Photo

Hatuwezi kusimamisasha huduma kwa wananchi Eti kwakuwa kuna bwege mmoja Anatukana au Anakosoa, inabidi wakati yeye anatafuta makosa yetu wewe ni muda wa kuendelea kuwapa huduma wananchi maana akimaliza kulopoka ataikuta huduma tumesha maliza basi nae ataanza kuitumia hiyo hiyo

Mjinga mmoja aliulizwa unaionaje Tanzania, Akajibu wameweza sana wamefanikiwa sana lakini kasoro ni 1 tu wameziba mirija ya wazeee ,nikacheka kama zuzu

Tunaweza kuwa tulisoma wote, tunaweza kuwa tumezaliwa mtaa 1 darasa 1 hata kuzaliwa tumbo 1 lakini kwenye kutafuta maisha hatuwezi kuwa sawa hata siku 1 kila mtu Mungu anampa alicho mpangia

Ndugu yangu NAY WA MITEGO wewe ni ndugu yangu rafiki yangu kaka yangu msanii mwenzangu najua natambua family yako inakutegemea hata kwa mawazo tu ninacho kiona kwenye Tweet yako nakushauri futa na achana na hayo mambo wewe ni kijana bado una safari ndefu sana kwenye maisha