SPANA NZITO๐Ÿ”ง (@spananzito) 's Twitter Profile
SPANA NZITO๐Ÿ”ง

@spananzito

Alhamdulillah ๐Ÿคฒ

ID: 1686978320762630144

calendar_today03-08-2023 05:52:38

10,10K Tweet

7,7K Followers

768 Following

Mudryk Jr (@mudryk_jr) 's Twitter Profile Photo

๐—ฆ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—จ๐—ž๐—˜...๐Ÿ™ ๐—™๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ž๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐—จ๐—ธ๐—ฒ ๐—ช๐—ฎ ๐— ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ธ๐—ฒ ๐— ๐˜‚๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ผ ๐—ก๐—ฎ ๐—›๐—ถ๐˜€๐—ถ๐—ฎ ๐—ญ๐—ฎ ๐—ก๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ถ. ๐™Š๐™ฅ๐™š๐™ฃ ๐™Ž๐™๐™ค๐™ง๐™ฉ ๐™๐™๐™ง๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿงต

๐—ฆ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—จ๐—ž๐—˜...๐Ÿ™

๐—™๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ž๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐—จ๐—ธ๐—ฒ ๐—ช๐—ฎ ๐— ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ธ๐—ฒ ๐— ๐˜‚๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ผ ๐—ก๐—ฎ ๐—›๐—ถ๐˜€๐—ถ๐—ฎ ๐—ญ๐—ฎ ๐—ก๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ถ.

๐™Š๐™ฅ๐™š๐™ฃ ๐™Ž๐™๐™ค๐™ง๐™ฉ ๐™๐™๐™ง๐™š๐™–๐™™ ๐Ÿงต
DanielHK๐Ÿ (@rasoulhk) 's Twitter Profile Photo

Fahamu Faida Za Maziwa Mgando (Mtindi)๐Ÿฅ›๐Ÿฅ› Maziwa ya mgando (mtindi)๐Ÿฅ›yana faida nyingi kwa afya ya binadamu. Hapa kuna faida 10 za kutumia mtindi: 1. Kuboresha mfumo wa usagaji chakula: Mtindi una probiotiki ambazo husaidia kuboresha afya ya mfumo wa usagaji chakula kwa

Fahamu Faida Za Maziwa Mgando (Mtindi)๐Ÿฅ›๐Ÿฅ›

Maziwa ya mgando (mtindi)๐Ÿฅ›yana faida nyingi kwa afya ya binadamu. Hapa kuna faida 10 za kutumia mtindi:

1. Kuboresha mfumo wa usagaji chakula:

Mtindi una probiotiki ambazo husaidia kuboresha afya ya mfumo wa usagaji chakula kwa
Nelly.31 (@nelly__31) 's Twitter Profile Photo

Huwezi kuamini kuna watu hata humu hawafahamu hivi ni vitu gani ,๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ ngoja tuone kama umetumia hizi like na retweet tuone ambae hafahamu ๐Ÿค๐Ÿ˜…

Huwezi kuamini kuna watu hata humu hawafahamu hivi ni vitu gani ,๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ ngoja tuone kama umetumia hizi like na retweet tuone ambae hafahamu ๐Ÿค๐Ÿ˜…
MAVURA JR (@mavura_jr) 's Twitter Profile Photo

Habari Yako familia Naitwa Mavura Jr, Mjasiriamali Nimeanza kama kijana mwenye ndoto kubwa na hamu ya kubadilisha maisha yangu na ya jamii yangu. Nilipoanza, sikuwa na rasilimali nyingi, lakini nilikuwa na ari na bidii. Na sitosahau mchango wenu kama familia mliponiwezesha kwa

Habari Yako familia Naitwa Mavura Jr,
Mjasiriamali 
Nimeanza kama kijana mwenye ndoto kubwa na hamu ya kubadilisha maisha yangu na ya jamii yangu. Nilipoanza, sikuwa na rasilimali nyingi, lakini nilikuwa na ari na bidii.

Na sitosahau mchango wenu kama familia mliponiwezesha kwa
Mudryk Jr (@mudryk_jr) 's Twitter Profile Photo

๐™ˆ๐™Ž๐˜ผ๐˜ผ๐˜ฟ๐˜ผ ๐™๐™€๐™๐™’๐™€๐™€๐™ ๐™ƒ๐˜ผ๐™‹๐˜ผ...๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Unatafuta tiba asili isiyo na kemikali? Karibu Maasai Herbal Clinic, ambapo tunatoa tiba za asili kwa kutumia mimea yenye nguvu ya kiafrika. Tunasaidia kutibu magonjwa kama vile: ๐Ÿ›‘ Shinikizo la damu ๐Ÿ›‘ Vidonda vya tumbo ๐Ÿ›‘

๐™ˆ๐™Ž๐˜ผ๐˜ผ๐˜ฟ๐˜ผ ๐™๐™€๐™๐™’๐™€๐™€๐™ ๐™ƒ๐˜ผ๐™‹๐˜ผ...๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Unatafuta tiba asili isiyo na kemikali? Karibu Maasai Herbal Clinic, ambapo tunatoa tiba za asili kwa kutumia mimea yenye nguvu ya kiafrika.

Tunasaidia kutibu magonjwa kama vile:

๐Ÿ›‘ Shinikizo la damu
๐Ÿ›‘ Vidonda vya tumbo 
๐Ÿ›‘
SPANA NZITO๐Ÿ”ง (@spananzito) 's Twitter Profile Photo

RETWEET ๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘ Unatafuta tiba asili isiyo na kemikali? Karibu Maasai Herbal Clinic, ambapo tunatoa tiba za asili kwa kutumia mimea yenye nguvu ya kiafrika! Tunasaidia kutibu magonjwa kama vile: ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅShinikizo la damu Fika Maasai Herbal Clinic, afya yako ni kipaumbele

RETWEET ๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘ 

Unatafuta tiba asili isiyo na kemikali? Karibu Maasai Herbal Clinic, ambapo tunatoa tiba za asili kwa kutumia mimea yenye nguvu ya kiafrika!

Tunasaidia kutibu magonjwa kama vile:

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅShinikizo la damu

Fika Maasai Herbal Clinic, afya yako ni kipaumbele
KILONZO (@kilonzo_tz) 's Twitter Profile Photo

HUU NDO UKWELI UNAOUMIZA WATU WENGI - Familia yako haijui magumu na shinikizo unayopitia katika maisha yako ya kila siku au kwenye kazi yako. - Na kazi yako haijui hali za maisha yako na nyumbani kwako. - Wenzako kazini, marafiki zako, na wapendwa hawataelewa ukubwa wa

HUU NDO UKWELI UNAOUMIZA WATU WENGI

- Familia yako haijui magumu na shinikizo unayopitia katika maisha yako ya kila siku au kwenye kazi yako.

- Na kazi yako haijui hali za maisha yako na nyumbani kwako.

- Wenzako kazini, marafiki zako, na wapendwa hawataelewa ukubwa wa
KILONZO (@kilonzo_tz) 's Twitter Profile Photo

WANAUME ACHA KUDATE MZIGO! 1. Msichana ambaye hana nauli ya kumtembelea mtu anayesema anampenda. (mzigo) 2. Mwanamke ambaye hawezi kukununulia zawadi ya siku ya kuzaliwa au Valentine lakini anatarajia umfanyie makubwa siku yake. (mzigo) Endelea ๐Ÿ‘‡

WANAUME ACHA KUDATE MZIGO!

1. Msichana ambaye hana nauli ya kumtembelea mtu anayesema anampenda. (mzigo)

2. Mwanamke ambaye hawezi kukununulia zawadi ya siku ya kuzaliwa au Valentine lakini anatarajia umfanyie makubwa siku yake. (mzigo)

Endelea ๐Ÿ‘‡
KILONZO (@kilonzo_tz) 's Twitter Profile Photo

WANAOFANYA KAZI HIZI NDIO WANAO ONGOZA KUCHEAT Utafiti uliwauliza wanawake 5,658 kuhusu mahusiano yao ya nje ya ndoa na kazi wanazofanya. Haya ndiyo matokeo: Endelea๐Ÿ‘‡

WANAOFANYA KAZI HIZI NDIO WANAO ONGOZA KUCHEAT

Utafiti uliwauliza wanawake 5,658 kuhusu mahusiano yao ya nje ya ndoa na kazi wanazofanya. Haya ndiyo matokeo:

Endelea๐Ÿ‘‡