Sophia Kessy (@sophiakessy) 's Twitter Profile
Sophia Kessy

@sophiakessy

Journalist/ TV & Radio Personality @CMG: CEO #SophyTours #Finchafricasafaris #Drop4Honey🍯: Founder of Sophyfoundation!

ID: 270878913

linkhttp://www.sophiakessy.com calendar_today23-03-2011 12:26:59

32,32K Tweet

22,22K Followers

7,7K Following

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Hii ajali imetokea maeneo ya Kolo Wilaya Kondoa apo ikihusisha basi la kampuni ya Ngasere High Class lenye safari za kutoka Rombo kwenda Dodoma limechochora apo. Poleni sana jamani

Sophia Kessy (@sophiakessy) 's Twitter Profile Photo

Jipe Mazoea ya kufanya Ibada kila wakati .... Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka,

Sophia Kessy (@sophiakessy) 's Twitter Profile Photo

Matendo 2 :20 -21 Jua litageuka kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla ya kuja ile siku ya Bwana iliyo kuu na iliyo dhahiri. Na itakuwa kila atakayeliitia jina la Bwana ataokolewa. 🙏🏽 #Alamsiki ✍🏿