Sokoine Foundation (@sokoinef) 's Twitter Profile
Sokoine Foundation

@sokoinef

Serving People, Changing Lives.
Governance | Rural Development | Environment & Climate Change

ID: 1111709728009261059

linkhttp://www.sokoinefoundation.or.tz calendar_today29-03-2019 19:20:28

378 Tweet

257 Followers

62 Following

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa lbada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya miaka 40 tangu kutokea kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu mara baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine Monduli Mkoani Arusha tarehe 12 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine Monduli Mkoani Arusha tarehe 12 Aprili, 2024.

Rais Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo aliyehudhuria pia Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine.

Rais Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mama Fatma Karume Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Abeid Amani Karume aliyehudhuria pia Misa Takatifu ya Kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine.

Matukio mbalimbali katika Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya miaka 40 tangu kutokea kifo cha Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine. Ibada hiyo imefanyika nyumbani kwa Hayati Sokoine Monduli Mkoani Arusha tarehe 12 Aprili, 2024.

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya Misa Maalum ya Kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine iliyofanyika nyumbani kwa Hayati Sokoine Monduli Mkoani Arusha tarehe 12 Aprili, 2024.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo nimeshiriki Misa Maalum ya Kumbukizi ya Miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine, iliyofanyika kwenye makazi ya familia yake Monduli, mkoani Arusha. Hayati Sokoine alikuwa kielelezo cha kiongozi

UONGOZI Institute (@uongozi) 's Twitter Profile Photo

We are pleased to announce that a book on the Late Edward Moringe Sokoine, Former Prime Minister of the United Republic of Tanzania, titled “Edward Moringe Sokoine: Maisha na Uongozi Wake” will be launched on 30 September 2024 by H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan. #Sokoine

We are pleased to announce that a book on the Late Edward Moringe Sokoine, Former Prime Minister of the United Republic of Tanzania, titled “Edward Moringe Sokoine: Maisha na Uongozi Wake” will be launched on 30 September 2024 by H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan.

#Sokoine
Sokoine University of Agriculture (SUA) (@sokoineu) 's Twitter Profile Photo

SUA tunayo furaha kuwatangazia kwamba kitabu cha Hayati Edward Moringe Sokoine, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, “Edward Moringe Sokoine: Maisha na Uongozi Wake” kitazinduliwa 30/9/2024 na Mhe. Dkt. Samia S. Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

SUA tunayo furaha kuwatangazia kwamba kitabu cha Hayati Edward Moringe Sokoine, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, “Edward Moringe Sokoine: Maisha na Uongozi Wake” kitazinduliwa 30/9/2024  na Mhe. Dkt. Samia S. Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na wake wa hayati Edward Moringe Sokoine kabla ya kuzindua Kitabu kinachohusu Maisha na Uongozi wake katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo tarehe 30

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Familia ya hayati Edward Moringe Sokoine kabla ya kuzindua Kitabu kinachohusu Maisha na Uongozi wake katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo tarehe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha Hayati Edward Moringe Sokoine kinachohusu Maisha na Uongozi wake katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo

Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi waliohudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha Hayati Edward Moringe Sokoine kinachohusu Maisha na Uongozi wake katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo tarehe 30 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mtoto wa hayati Edward Moringe Sokoine, Balozi Joseph Edward Sokoine kabla ya kuzindua Kitabu kinachohusu Maisha na Uongozi wake katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mtoto wa hayati Edward Moringe Sokoine, Balozi Joseph Edward Sokoine  kabla ya kuzindua Kitabu kinachohusu Maisha na Uongozi wake katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
UONGOZI Institute (@uongozi) 's Twitter Profile Photo

Edward Moringe Sokoine: Maisha na Uongozi Wake sasa kimezinduliwa rasmi na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. #Sokoine #MaishaYaSokoine #UongoziWaSokoine