
SokaPlace
@sokaplace
The Official Twitter account for @sokaplace_
Instagram: @sokaplace_
Facebook: @Sokaplace
Call us 0715255182
sponsored by @Mwanjelwagrovet
ID: 1440286436
http://www.sokaplace.com 19-05-2013 05:27:33
37,37K Tweet
30,30K Takipçi
426 Takip Edilen

Aggy Simba anasema wao walimuimba Sana Ibenge na akaletwa hadi kwenye Mkutano Mkuu wa Simba mwaka 2022 lakini Leo Azam FC wanaenda kumtambulisha kama Kocha wao Mkuu MWANJELWA AGROVET CENTER


Mashabiki wa Simba Wanasema wamedanganywa Sana na Viongozi wao Mazonki alikuja Nchini Lakini wakaishia Kupiga naye picha Tu 😂 MWANJELWA AGROVET CENTER


Rasmi klabu ya Azam FC imemtangaza Kocha Florent Ibenge Kuwa Kocha wao Mkuu akitokea klabu ya Al hilal ya Sudan MWANJELWA AGROVET CENTER


Aliyekuwa Mshambuliaji wa klabu ya Songea United Cyprian Kipenye amejiunga na Namungo Fc ya Lindi kwa mkataba wa miaka miwili MWANJELWA AGROVET CENTER


Aliyekuwa kocha Mkuu wa klabu ya Mtibwa Sugar Mecky Maxime anatajwa huenda akarejea klabu ya Mtibwa Sugar baada ya kuachana na Dodoma Jiji hata hivyo pia Namungo wako kwenye mazungumzo makubwa na kocha huyo MWANJELWA AGROVET CENTER


Aliyekuwa kuwa Golikipa wa klabu ya KenGold Sc ya Chunya Castor Mhagama amefanikiwa kujiunga na timu ya Dodoma Jiji Kwa uhamisho huru akitokea klabu ya Kengold baada ya kumaliza mkataba wake na wachimba dhahabu hao kutokea Mkoani Mbeya. MWANJELWA AGROVET CENTER


Klabu ya Simba Sc inatarajia kuanza maandalizi ya msimu mpya mwishoni mwa mwezi huu kambi hiyo itakua nje ya Nchi. MWANJELWA AGROVET CENTER


Klabu ya JKT Tanzania imekamilisha Usajili wa Mshambuliaji Paul Peter kutoka klabu ya Dodoma Jiji Kwa Mkataba wa miaka miwili, Paul anajiunga na JKT Tanzania Kama Mchezaji Huru baada ya kumaliza Mkataba na walima zabibu. MWANJELWA AGROVET CENTER


Kiungo Mkabaji Himid Mao Mkami amerejea klabu yake ya zamani Azam Fc Mao amesaini Mkataba wa mwaka mmoja utakaomfanya asalie Azam Fc hadi Mwaka 2026 #sokaplaceupdates Sponsored by MWANJELWA AGROVET CENTER #sokaplace


Golikipa wa klabu ya Simba Musa Camara ataendelea kusalia ndani ya kikosi cha Simba za ndani zinasema mabosi wa klabu hiyo bado wanaimani na Golikipa Huyo. #sokaplaceupdates Sponsored by MWANJELWA AGROVET CENTER


Klabu ya Al Hilal ya Sudan Jana imethibitisha kuwa Mchezaji wao Hatari Jean Claude Girumugisha Raia wa Burundi ameongeza Mkataba wa kuendelea Kuitumikia klabu hiyo hadi Mwaka 2029 MWANJELWA AGROVET CENTER


Good Morning Fans wa Chelsea 🏟️ ✅ Fainali ya Club World Cup 2025 FT Chelsea 🏴 3️⃣ ➖ 0️⃣ PSG 🇫🇷 ⚽ 22' Palmer (🎯 Gusto) ⚽️ 30' Palmer (🎯 Colwill) ⚽️ 43' Joao Pedro (🎯 Palmer) #sokaplace Sponsored by MWANJELWA AGROVET CENTER


Klabu ya Azam FC imekamilisha Usajili wa Winga, Baraket Ilhmidi Raia wa Tunisia aliyesaini Mkataba wa Miaka Miwili na klabu Hiyo utakaomfanya asalie klabuni hapo hadi Mwaka 2027 Baraket amejiunga na Azam FC akitokea klabu ya Club Sportif.sfaxien ya Tunisia #sokaplaceupdates


Matajiri wa Jiji la DSM Klabu ya Azam FC usiku huu wametangaza Kukamilisha usajili wa Mchezaji Taieb Ben Zitoun Raia wa Tunisia akitokea Al Hilal ya Sudani Ibenge anaendelea kushusha Vyuma #sokaplaceupdates Sponsored by MWANJELWA AGROVET CENTER #Sokaplace



Jezi za Ugenini za klabu ya Yanga Unawapa asilimia ngapi ? wamewakumbusha Kuwa watani wao walisepa Tarehe 8 #sokaplaceupdates Sponsored by MWANJELWA AGROVET CENTER


Jezi ya Tatu ya Klabu ya YANGA SC Unawapa asilimia ngapi wananchi ? Sponsored by MWANJELWA AGROVET CENTER #Sokaplace


Ipi Jezi yako Hapa Nyumbani Ugenini Third Kit ? #sokaplaceupdates Sponsored by MWANJELWA AGROVET CENTER #sokaplace


MECHI YA KIRAFIKI FULL TIME: Simba SC 🦁 2–0 Wadi Degla ⚽️ Elie Mpanzu ⚽️ Kibu Denis 🔥 Ushindi mzuri kwa Simba SC kwenye mchezo wa kirafiki leo! 📍Sokaplace 🤝 Wadhamini MWANJELWA AGROVET CENTER


Jezi za Simba zilizouzwa Sana ,Tangu uzinduzi ufanyike Nyekundu Na Jezi ya Tatu Third Kit Sponsored by MWANJELWA AGROVET CENTER
