Simplify (@simplify_tz) 's Twitter Profile
Simplify

@simplify_tz

Simplify VFD offers a government-approved online solution for easy, compliant EFD invoicing in Tanzania, streamlining tax processes
linktr.ee/simplifyTz

ID: 1352338352431915013

linkhttp://simplify.co.tz calendar_today21-01-2021 19:33:21

255 Tweet

111 Followers

4 Following

Simplify (@simplify_tz) 's Twitter Profile Photo

Wateja wako kidigitali, wewe unasubiri nini? Nenda kwa kasi ya kidigitali kwa kutoa risiti za EFD popote uliopo. Wasiliana nasi kupitia 0658507103/0745507103 au [email protected] kujiunga na huduma za Simplify VFD. #SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti

Wateja wako kidigitali, wewe unasubiri nini? Nenda kwa kasi ya kidigitali kwa kutoa risiti za EFD popote uliopo. 

Wasiliana nasi kupitia 0658507103/0745507103 au sales@simplify.co.tz kujiunga na huduma za Simplify VFD.

#SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti
Simplify (@simplify_tz) 's Twitter Profile Photo

Epuka kutumia muda mwingi kwenye michakato. Simplify VFD imefanya suala la utoaji risiti kuwa rahisi na kukupa muda mwingi wa kuzingatia ukuaji wa biashara yao zaidi. Chagua ufanisi, chagua Simplify VFD #Nizaidiyarisiti #SimplifyVFD

Simplify (@simplify_tz) 's Twitter Profile Photo

Tunaposheherekea Saba Saba tunasheherekea ukuaji na ustawi wa biashara na wafanyabiashara. Simplify VFD tunachochea ukuaji wa biashara kwa kurahisisha michakato ya utoaji wa risiti za EFD kwenye biashara yako. Jiunge nasi leo twende kidigitali. #SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti

Simplify (@simplify_tz) 's Twitter Profile Photo

Sifa ya biashara imara ni kuwa na uwezo wa kunyambulika na kwenda na wakati. Kweye suala la utoaji risiti, Simplify VFD tunahakikisha haubaki nyuma. Jiunge nasi kurahisisha biashara yako. #SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti #EFD

Sifa ya biashara imara ni kuwa na uwezo wa kunyambulika na kwenda na wakati. Kweye suala la utoaji risiti, Simplify VFD tunahakikisha haubaki nyuma. 

Jiunge nasi kurahisisha biashara yako. 
#SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti #EFD
Simplify (@simplify_tz) 's Twitter Profile Photo

Muda ni mali kwenye kila biashara. Biashara yako ya vifaa vya ujenzi inahitaji ufanisi zaidi ili kukidhi mahitaji ya wateja wako. Utoaji risiti kupitia Simplify VFD unaongeza ufanisi kwenye biashara yako. Walisiliana nasi kupitia 0658507103/ 0745507103 #SimplifyVFD

Muda ni mali kwenye kila biashara. Biashara yako ya vifaa vya ujenzi inahitaji ufanisi zaidi ili kukidhi mahitaji ya wateja wako. Utoaji risiti kupitia Simplify VFD unaongeza ufanisi kwenye biashara yako.

Walisiliana nasi kupitia 0658507103/ 0745507103
#SimplifyVFD
Simplify (@simplify_tz) 's Twitter Profile Photo

Kwenye swala zima la utoaji Risiti kidigitali simplify imekurahisishia wewe mfanyabiashara au mtoa huduma mahala popote unaweza kutoa risiti na kuwasilisha Z report bila usumbufu wa aina yoyote. Hata @chrismauki anasema “Simplify ni zaidi ya risiti”

Simplify (@simplify_tz) 's Twitter Profile Photo

Fursa kwa wafanyabiashara wa Mwanza. Unaweza kuwa wakala wa Simplify VFD na kuwa sehemu ya kusaidia ukuaji wa biashara jijini Mwanza kwa kuwezesha utoaji risiti za EFD kidigitali. Wasiliana nasi kufahamu zaidi kuhusu fursa hii. #SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti #EFD #fursa

Fursa kwa wafanyabiashara wa Mwanza. Unaweza kuwa wakala wa Simplify VFD na kuwa sehemu ya kusaidia ukuaji wa biashara jijini Mwanza kwa kuwezesha utoaji risiti za EFD kidigitali.

Wasiliana nasi kufahamu zaidi kuhusu fursa hii.

#SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti #EFD #fursa
Simplify (@simplify_tz) 's Twitter Profile Photo

Biashara ya mazao ya kilimo inaweza kuanzia shambani bila hofu ya kutoa na kutuma risiti za EFD. Ni wewe tuu kuisajili biashara yako na kutoa risiti kidigitali kupitia Simplify VFD. Jiunge nasi kurahisisha biashara yako. #SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti #EFD #Kodi

Biashara ya mazao ya kilimo inaweza kuanzia shambani bila hofu ya kutoa na kutuma risiti za EFD. Ni wewe tuu kuisajili biashara yako na kutoa risiti kidigitali kupitia Simplify VFD.

Jiunge nasi kurahisisha biashara yako. 

#SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti #EFD #Kodi
Simplify (@simplify_tz) 's Twitter Profile Photo

Siku ya Leo tuchukue muda kutambua nia na juhudi zote zinazotolewa na wakulima. Wanatoa mchango mkubwa kwenye Uchumi wa Taifa letu Tanzania. Siku njema ya Nanenane kwa wakulima wote nchini #Nanenane#Wakulimanakilimo#Simplify

Siku ya Leo tuchukue muda kutambua nia na juhudi zote zinazotolewa na wakulima. Wanatoa mchango mkubwa kwenye Uchumi wa Taifa letu Tanzania.

Siku njema ya Nanenane kwa wakulima wote nchini 

#Nanenane#Wakulimanakilimo#Simplify
Simplify (@simplify_tz) 's Twitter Profile Photo

Zoezi la utoaji risiti halipaswi kukupa stress. Tumia Simplify VFD uone tofauti. Jiunge nasi kurahisisha uchakataji wako wa Risiti za EFD. #SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti #EFD #Kodi

Zoezi la utoaji risiti halipaswi kukupa stress. Tumia Simplify VFD uone tofauti.

Jiunge nasi kurahisisha uchakataji wako wa Risiti za EFD.

#SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti #EFD #Kodi
Simplify (@simplify_tz) 's Twitter Profile Photo

Pakua App ya Simplify VFD kwenye simu yako ya Android au IOS kufurahia utoaji risiti za EFD kwa urahisi na Simplify VFD. Dowload kurahisisha biashara yako. #SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti #EFD

Pakua App ya Simplify VFD kwenye simu yako ya Android au IOS kufurahia utoaji risiti za EFD kwa urahisi na Simplify VFD.

Dowload kurahisisha biashara yako.

#SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti #EFD
Funguo Tanzania (@funguo_tz) 's Twitter Profile Photo

#SpotlightMonday Today, we're spotlighting Simplitech Ltd, founded by Baraka Cassian. This innovative company is transforming tax compliance in Tanzania through its @Simplify_tz app, which streamlines electronic invoicing and reduces reliance on paper receipts. #Thread

Funguo Tanzania (@funguo_tz) 's Twitter Profile Photo

Recognized by the TRA in 2022, Simplitech serves major clients like Air Tanzania and is driving modern, efficient tax processes. we are proud of the work of Simplitech! For more info, visit simplify.co.tz #Innovation #TechForGood

Recognized by the TRA in 2022, Simplitech serves major clients like Air Tanzania and is driving modern, efficient tax processes. we are proud of the work of Simplitech!
For more info, visit simplify.co.tz #Innovation #TechForGood
TRA Tanzania (@tratanzania) 's Twitter Profile Photo

#DaresSalaam Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda amewataka wanachama wa Chama cha Washauri wa Kodi Tanzania (TATC) kufanya kazi kwa uzalendo kuhakikisha kuwa walipakodi wanalipa kodi stahiki na serikali inapata kodi stahiki kwa maendeleo ya Taifa

#DaresSalaam
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda amewataka wanachama wa  Chama cha Washauri wa Kodi Tanzania (TATC) kufanya kazi kwa uzalendo  kuhakikisha kuwa walipakodi wanalipa kodi stahiki na serikali inapata kodi stahiki kwa maendeleo ya Taifa
Ernest Malcolm💯 (@lukakucancode) 's Twitter Profile Photo

A new client called this late asking on sending z-reports to TRA, and I have never been so happy and proud to tell them that it's automated and he doesn't have to ever worry about it and he can focus on running his business😮‍💨💪🏾 CC: Simplify #Simplify #NiZaidiYaRisiti

Simplify (@simplify_tz) 's Twitter Profile Photo

Kila mfanyabiashara au mtoa huduma ana mchango Mkubwa kwenye kuchangia pato la taifa kwa kutoa na kudai risiti za EFD katika kila mauzo unayofanya. #Simplifyvfd#simplifyrisitikidigitali

Simplify (@simplify_tz) 's Twitter Profile Photo

Ni haraka na rahisi .Unatoa ankara/invoice ambayo pia inathibitisha uhalali wa biashara yako kwa mteja wako kwa sababu imeunganishwa na mfumo wa kodi wa mamlaka ya mapato Tanzania. Tumia Simplify VFD kurahisisha biashara yako sasa! #SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti #EFD #Kodi #Ankara

Ni haraka na rahisi .Unatoa ankara/invoice ambayo pia inathibitisha uhalali wa biashara yako kwa mteja wako kwa sababu imeunganishwa na mfumo wa kodi wa mamlaka ya mapato Tanzania.
Tumia Simplify VFD kurahisisha biashara yako sasa!
#SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti #EFD #Kodi #Ankara