MIMI SIO SIMBA ILA SIMBA HAKI YAO IMEFINYWA PENATI YA WAZI UNAZANI NEXT TIME KUNA TIMU ITATAMANI KUSHILIKI MASHINDANO YA KIPUZI NAMNAI CAF MNAZINGUA SANA😭😭😭😭
Taarifa ya kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa David Cleopa Msuya, kilichotokea leo katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Dar es Salaam.
Ninatoa pole kwa ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania wote.
Apumzike kwa Amani.