Simba Sc App (@simbascapp_) 's Twitter Profile
Simba Sc App

@simbascapp_

Simba Fan page,Download Simba Sc App Kwa Taarifa Za Uhakika Za Timu Yetu, simbasc.co.tz/app

ID: 1253950443769729024

calendar_today25-04-2020 07:34:44

908 Tweet

243 Takipçi

6 Takip Edilen

Simba Sc App (@simbascapp_) 's Twitter Profile Photo

PRESS CONFERENCE . Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Benson Kigaila atafanya mkutano na waandishi wa habari kesho Alhamisi tarehe 29 Mei,2025. Eneo: GG Hotel ,Mwanza (Minazi Mirefu) Muda: Saa tano kamili asubuhi Waandishi wote mnakaribishwa

PRESS CONFERENCE .

Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Benson Kigaila atafanya mkutano na waandishi wa habari kesho Alhamisi tarehe 29 Mei,2025.

Eneo: GG Hotel ,Mwanza (Minazi Mirefu)

Muda: Saa tano kamili asubuhi 

Waandishi wote mnakaribishwa
Vitus Nkuna (@vitusnkuna) 's Twitter Profile Photo

Picha za mkutano wetu wa kwanza hapa Mwanza viwanja vya furahisha, pichani ni Katibu Mkuu watu CHAUMMA Salum Mwalimu akihutubia mamia ya wafuasi wetu leo. Kwenye marathon mshindi upatikana mwisho wa mbio na sio mwanzo Karibuni CHAUMMA💪💪

Picha za mkutano wetu wa kwanza  hapa Mwanza viwanja vya furahisha, pichani ni Katibu Mkuu watu CHAUMMA Salum Mwalimu akihutubia mamia ya wafuasi wetu leo.
 Kwenye marathon mshindi upatikana mwisho wa mbio na sio mwanzo 
Karibuni CHAUMMA💪💪
Simba Sc App (@simbascapp_) 's Twitter Profile Photo

Naona toka Jana una mizuka sana,Umeshindwa kujenga chama huku bara umebaki kuvizia wanachama,toka utoke CDM umekoswa ushawishi Umeshindwa kujenga chama bara,Act ipo kata moja ya tunduru na kata moja ya kigoma,mshukuru maalim seif Kwa kukurithisha wanachama.

Simba Sc App (@simbascapp_) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa chama Taifa na Katibu Mkuu wa chama cha Ukombozi wa umma CHAUMMA Akishuka kwenye Chopa kijijini Kamgesi Jimbo la Serengeti Mkoani Mara.

Mwenyekiti wa chama Taifa na Katibu Mkuu wa chama cha Ukombozi wa umma CHAUMMA Akishuka kwenye Chopa kijijini Kamgesi Jimbo la Serengeti Mkoani Mara.