SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile
SikilizaTogolani

@sikilizatogolan

Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake!

ID: 1463532073445117952

calendar_today24-11-2021 15:37:12

1,1K Tweet

64,64K Followers

0 Following

SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Ukiona watu hawakuelewi, ujue hujaeleweka; usiwakasirikie, endelea kuwaelewesha zaidi hadi waelewe. Ukiwakasirikia, unawafanya wasikuelewe zaidi." ~Togolani Mavura.

"Kila mtu ana wito wake; ni rahisi sana kufanikiwa ukielekeza nguvu katika wito wako kuliko wa mwenzako. Hujachelewa; itikia wito wako sasa." ~Togolani Mavura.

"Jamii isiyowajibika hupokezana lawama badala ya kupokezana wajibu au jukumu. Lawama haijawahi kutatua tatizo lolote." ~Togolani Mavura.

"Kuwekeza nusu ya jitihada na kutegemea matokeo makubwa ni kuamini katika mazingaombwe na ushirikina. Matokeo makubwa ni zao la jitihada kubwa." ~Togolani Mavura.

"Kila anapoinuka mjasiriamali mmoja, tunapiga hatua kwenye kupambana na umasikini; kila anapoanguka mjasiriamali mmoja, tunarudi nyuma hatua 100." ~Togolani Mavura.

"Usiitafute shari, ila pale inapokutafuta wewe ikabili. Mwenyezi Mungu husimama upande wa mwenye kuikabili shari, maana haki iko upande wake." ~Togolani Mavura.

"Upepo ukiupatia, unaweza kukupepea; na ukiukosea, unaweza kukupeperusha. Tatizo si upepo, tatizo ni maarifa yako." ~Togolani Mavura.

"Birika halimimini kisichokuwepo ndani yake. Usitegemee upendo, huruma na uelewa kutoka kwa mwenzako ikiwa nawe huwekezi kuujazia moyoni mwake." ~Togolani Mavura.

"Haki ya simba kula inakinzana na haki ya swala kuishi. Tuko sawa, lakini wengine wako sawa zaidi. Ndio kanuni ya asili ya maumbile." ~Togolani Mavura.

"Wahenga wana msemo wao unasema kuwa 'mtoto asiyetembelea nyumba nyingine ataamini daima kuwa mama yake ndio mpishi mbobezi'. Tafakari." ~Togolani Mavura.

"Kuishi ni sanaa,wengine ni karama yao,wengine huipata kwenye malezi, na wengine hufunzwa na ulimwengu, haijalishi umeipataje muhimu uwe nayo." ~Togolani Mavura.

"Fursa na riziki anatoa Mungu lakini zinakuja kwetu kupitia kwa Watu. Watu wanaokuzunguka na unaokutana nao katika maisha wana mchango na nafasi ya kukusogezea na kukuunganisha na fursa na riziki. Wekeza kwa watu. Mtandao wa Watu na mahusiano mazuri ni Mtaji kama ilivyo fedha."

"Kila mtu ana aibu zake na udhaifu wake ambazo hupenda kuzisitiri. Hivyo, muonekano na tabia za watu tuzionazo upenuni ni sitiri ya undani wao." ~Togolani Mavura.