Sia Da Vinci💎 (@siadevinci) 's Twitter Profile
Sia Da Vinci💎

@siadevinci

Geopolitics and what's going on in the world from my own perspectives.

Terrorising Misinformation.

🎽Unstoppable!

ID: 1377150982077882372

calendar_today31-03-2021 06:49:26

81,81K Tweet

45,45K Takipçi

4,4K Takip Edilen

Sia Da Vinci💎 (@siadevinci) 's Twitter Profile Photo

Sema Ai raha sana. Kutwa nimeshinda naangaika kupata sln ya kutengeneza PCB, sina hili wala lile nashangaa naletewa advert ya PCB ikiuzwa kwa bei rahisi kuliko hata gharama ya kutengeneza.

GenZ wa kenya wanasahau kuwa Kenya ni mshirika wa USA. Watavunjwa miguu na hakuna Wale sijui watetezi wa haki za binadamu watafungua midomo yao.

Sia Da Vinci💎 (@siadevinci) 's Twitter Profile Photo

USAID itarudi tu baadaye. Hii ni mbinu ya Trump kuingiza mataifa maskini kwenye mikataba ya madini. Congo na somalia wameshaingia mkenge tyari.

Sia Da Vinci💎 (@siadevinci) 's Twitter Profile Photo

Kuna huyu kijana kaweza kugundua mashine inayobadilisha plastic kuwa mafuta. Kwa rangi yake kuna mawili: Kuuwawa au project yake isiwe scaled.

Huyu sijui kama anajua iyo laki 6 in Ksh ndyo mshahara wa mbunge kenya kwa mwezi. Hivi huko mashuleni huwa mnafundishwa nini???

Sia Da Vinci💎 (@siadevinci) 's Twitter Profile Photo

Mfano ukala nyama kila siku ni lazima itafika wakati utaichukia utatamani kula hata mlenda. Hapa nazungumzia siasa sio mboga.

Sia Da Vinci💎 (@siadevinci) 's Twitter Profile Photo

Poleple katurudisha kwenye agenda ya kujadili nani anafaa kuwa Mgombea wa kiti cha urais pitta CCM na sio No reform na election tena.