Shule Bora (@shulebora) 's Twitter Profile
Shule Bora

@shulebora

Shule Bora is a UK International Development funded Government of Tanzania education programme designed to improve the quality of education for all children.

ID: 1596124757564571649

calendar_today25-11-2022 12:53:17

269 Tweet

94 Followers

93 Following

Shule Bora (@shulebora) 's Twitter Profile Photo

Jumuiya za Kujifunza (JzK) zinarahisisha ufundishaji wa masomo ya Hisabati & Kiingereza hasa kwa wanafunzi kutoka katika jamii zenye uhitaji! Kupitia jumuiya hizi walimu wanabadilishana uzoefu, na kujifunza kwa pamoja njia bora za kufundisha. 📍Wilaya ya Kibondo, mkoa wa Kigoma.

Shule Bora (@shulebora) 's Twitter Profile Photo

Tupo Mpimbwe, Katavi kwa siku ya kwanza ya maonesho ya #GAWE tukiongozwa na Rc Katavi Mhe. Mwanamvua Mrindoko. Chini ya kauli mbiu “Elimu kwa Maendeleo ya Ujuzi", wiki hii tutashirikiana na wadau kuangazia mafanikio na changamoto za sekta ya elimu 🇹🇿 #GAWE2025

Tupo Mpimbwe, Katavi kwa siku ya kwanza ya maonesho ya #GAWE tukiongozwa na Rc Katavi
Mhe. Mwanamvua Mrindoko.

Chini ya kauli mbiu “Elimu kwa Maendeleo ya Ujuzi", wiki hii tutashirikiana na wadau kuangazia mafanikio na changamoto za sekta ya elimu 🇹🇿

#GAWE2025
Shule Bora (@shulebora) 's Twitter Profile Photo

Honored to receive an award for our impact in education during #GAWE in Katavi! Thanks to OFISI YA RAIS TAMISEMI, Wizara ya Elimu Tanzania, our donors Foreign, Commonwealth & Development Office & all partners for the support. We remain committed to quality, inclusive education for ALL children in 🇹🇿. UK in Tanzania Cambridge Education

Honored to receive an award for our impact in education during #GAWE in Katavi!

Thanks to OFISI YA RAIS TAMISEMI, Wizara ya Elimu Tanzania, our donors  Foreign, Commonwealth & Development Office & all partners for the support.

We remain committed to quality, inclusive education for ALL children in 🇹🇿.

UK in Tanzania Cambridge Education
Shule Bora (@shulebora) 's Twitter Profile Photo

Highlights from #GAWE2025 in Katavi! Throughout the week, we joined stakeholders for community outreach in 7 schools across Mpimbwe District. Whereas, our booth, we showcased scalable models on teaching methods, communities of learning, and climate-resilient classrooms.

Shule Bora (@shulebora) 's Twitter Profile Photo

Mwalimu msikivu = Mafanikio darasani! Mwalimu anayesikiliza mahitaji ya wanafunzi hujenga mazingira bora ya kujifunzia, huamsha ari ya kujifunza na hatimaye kuleta matokeo mazuri zaidi! Msikilize Mwalimu Stanslaus kutoka Kigoma, mshiriki wa mafunzo ya programu ya #ShuleBora.

Shule Bora (@shulebora) 's Twitter Profile Photo

Our delegation at #EWF25 is led by Hon. Prof Nombo Wizara ya Elimu Tanzania , John Lusingu UK in Tanzania our Team Leader Virginie Briand & Deputy Team Leader Benjamin Oganga Come engage with us at the Networking Hub - Booth S5, as we explore collaborative ways to transform education in 🇹🇿

Our delegation at #EWF25 is led by Hon. Prof Nombo Wizara ya Elimu Tanzania , John Lusingu UK in Tanzania our Team Leader Virginie Briand & Deputy Team Leader Benjamin Oganga
Come engage with us at the Networking Hub - Booth S5, as we explore collaborative ways to transform education in 🇹🇿