Shim🌸 (@shimwanjiku) 's Twitter Profile
Shim🌸

@shimwanjiku

Hated,Adored,never ignored 💯.

Florist.

ID: 1993603043502489600

calendar_today26-11-2025 08:49:52

2,2K Tweet

1,1K Takipçi

146 Takip Edilen

Shim🌸 (@shimwanjiku) 's Twitter Profile Photo

"Enter puk code" this thing traumatized me in highschool💔😆. Unachukua simu ya mzazi ndio uchat na mpoa unabuy 200 sms mnachat zinaisha wacha ifike time ya kutoa line yako uweke ya mzazi. Mailod hukumbuki pin unaweka adi inablock inakuitisha"Puk" na iyo "Puk" ujui ni gani na

Shim🌸 (@shimwanjiku) 's Twitter Profile Photo

Mimi nikikimbilia gari stage Alafu nifike hapo ijae, huwa nakimbia mpaka next stage aibu ya kurudi mahali wengine wamesimama siwezi kubali.

Shim🌸 (@shimwanjiku) 's Twitter Profile Photo

Sasa vile kuna nyesha daily na nguo hazikauki ,una feel aje ukisoma hii post na ngotha ulikua umevaa jana ??😂😭💔

Shim🌸 (@shimwanjiku) 's Twitter Profile Photo

Huku Nairobi nikama watu wako na stress sana,nimesimama hapa CBD huyu akaingiza mkono kwa mfuko yangu kumuuliza rada ananiambia alikua anadhani ni mfuko yake😂💔

Shim🌸 (@shimwanjiku) 's Twitter Profile Photo

Kwambia mwanaume hana ndevu akiosha uso ni kama anaosha tiles ni kitu ya kufanya mtu a jam kweli,men sikuizi wamekua soft sana.😁🙆