shabby (@shanarama7) 's Twitter Profile
shabby

@shanarama7

ID: 1271130291046940673

calendar_today11-06-2020 17:21:22

1,1K Tweet

493 Takipรงi

2,2K Takip Edilen

LONEWOLF๐Ÿบ (@rastaclaaaat) 's Twitter Profile Photo

Habari zenyuu๐Ÿ‘‹๐Ÿพ๐Ÿ‘‹๐Ÿพ๐Ÿ‘‹๐Ÿพ Spacio cc 1700 inauzwa bei 7M Naomba repost kama zile mlinipea jana๐ŸŒš nipate pesa ya kununua abaya kwenye Eid๐Ÿ˜’ Asanteni

LONEWOLF๐Ÿบ (@rastaclaaaat) 's Twitter Profile Photo

Salaam Hijabees ๐Ÿ๐Ÿ‘‹๐Ÿพ Kama unataka kupendeza this coming Eid na hauna uwezo wa Abaya za 100k or 150k usijali DM meโ€ฆ Come shine with us. Kindly like and RT guys iwafikie all hijabees๐ŸŒบ

Mudhakiru Dauda (@mudhakiru_dauda) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zangu katika Imani, biashara hii tukiamua kuiwekea kamati hatuwezi ishinda? Gharama zake si nyingi ila faida yake kubwa sana. Mtume SAW asema "Mwenye kujenga misikiti, Allah humjengea nyumba peponi" What a super profit?

Fumbo Junior. ููˆู…ุจูˆ ุฌูˆู†ูŠูˆุฑ (@fumbojunior) 's Twitter Profile Photo

Namuomba Allaah Mtukufu anipe mimi na nyinyi kheri za Dunia na Akhera ุฃุณุฃู„ ุงู„ู„ู‡ ุชุนุงู„ู‰ ุฃู† ูŠุฑุฒู‚ู†ุง ุฎูŠุฑ ุงู„ุฏู†ูŠุง ูˆุงู„ุขุฎุฑุฉ

Zuwena Khatib (@zuwenakhatib) 's Twitter Profile Photo

Almighty Thank You for waking us up this morning. Thank You for Your love and kindness. Almighty God You are the giver of good things, merciful and kind. Please look upon us with favor and shower us with Your blessings. Grant us Your grace, show us Your love ๐Ÿ™

kamamaa (@msbrown_tz) 's Twitter Profile Photo

Just imagine zisingekuwepo awareness si tungempoteza kijana mwenzetu? This is not ifike pahala wanaotumwa nao wabananishwe waone utamu wa maumivu ๐Ÿšฎ mnamuacha mtu hifadhi ya wanyama pori akiwa hawezi kutembea wala kujipambaniaโ€ฆ.. nyie ni wauaji, Yโ€™ALL ARE KILLERS.

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

๐Œ๐–๐€๐Œ๐๐€ Clatous Chota Chama ni ๐Œ๐–๐€๐๐€๐๐‚๐‡๐ˆ๐Ÿ”ฐ Karibu sana Jangwani๐Ÿ‘Š๐Ÿฝ ๐๐˜๐ˆ๐„ ๐‡๐€๐Œ๐”๐Ž๐†๐Ž๐๐ˆ? #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

๐Œ๐–๐€๐Œ๐๐€ <a href="/ClatousCC/">Clatous Chota Chama</a> ni ๐Œ๐–๐€๐๐€๐๐‚๐‡๐ˆ๐Ÿ”ฐ Karibu sana Jangwani๐Ÿ‘Š๐Ÿฝ

๐๐˜๐ˆ๐„ ๐‡๐€๐Œ๐”๐Ž๐†๐Ž๐๐ˆ?

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Mudhakiru Dauda (@mudhakiru_dauda) 's Twitter Profile Photo

SUBARU FORESTER 2014. Tumeagiza, tumeclear na tumekabidhi kwa mteja wetu Mr. Fawaz Magomeni Mapipa. Kila kitu imekula 23.6M Karibu sana #MZADAFREIGHTCOLTD tukuhudumie 0753594683

SUBARU FORESTER 2014.
Tumeagiza, tumeclear na tumekabidhi kwa mteja wetu Mr. Fawaz Magomeni Mapipa.

Kila kitu imekula 23.6M
Karibu sana #MZADAFREIGHTCOLTD tukuhudumie

0753594683
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Watanzania kwa ujumla ni very lenient people! Wachunguze watanzania, utabaini. Lenient people are tolerant, merciful, and not overly strict. Watanzania. Wakati mfumo wa vyama vingi vya siasa unarejeshwa mwaka 1992, Mchungaji Christopher Mtikila aliitisha mkutano mkubwa pale