sports~lady⚽️ (@shadowsnip01) 's Twitter Profile
sports~lady⚽️

@shadowsnip01

community developer|football|yanga|manchester united|realmadrid|family|juventus|
game changer.26kipaji

ID: 1481868222223818755

calendar_today14-01-2022 05:58:59

821 Tweet

159 Takipçi

747 Takip Edilen

MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

"SITARUHUSU KUONA KATIBA INASIGINWA" MH DKT DAMAS NDUMBARO. #katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya

"SITARUHUSU KUONA KATIBA INASIGINWA" MH DKT DAMAS NDUMBARO. 
#katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya
sports~lady⚽️ (@shadowsnip01) 's Twitter Profile Photo

Misingi ya upatikanaji haki nchini imeendelea kuboreshwa ili kuwasaidia watu kupata haki zao, huduma ya msaada wa kisheria inawafikia wananchi wote kila kona ya Tanzania bila kujali umbali. #sisiniTanzania #mslac #matokeochanya #nchiyangukwanza #katibanasheria #siondototena

Misingi ya upatikanaji haki nchini imeendelea kuboreshwa ili kuwasaidia watu kupata haki zao, huduma ya msaada wa kisheria inawafikia wananchi wote kila kona ya Tanzania bila kujali umbali.
#sisiniTanzania #mslac #matokeochanya #nchiyangukwanza #katibanasheria #siondototena
sports~lady⚽️ (@shadowsnip01) 's Twitter Profile Photo

Uwepo wa mabaraza ya usuluhishi katika ngazi ya kata unasaidia kutatua migogoro mbalimbali katika jamii, hivyo kwa kushirikiana madawati ya msaada wa kisheria yaliyopo nchini kunaongeza ufanisi katika utatuzi wa migogoro. #katibanasheria #mslac #sisiniTanzania #matokeochanya

Uwepo wa mabaraza ya usuluhishi katika ngazi ya kata unasaidia kutatua migogoro mbalimbali katika jamii, hivyo kwa kushirikiana madawati ya msaada wa kisheria yaliyopo nchini kunaongeza ufanisi katika utatuzi wa migogoro.
#katibanasheria #mslac #sisiniTanzania #matokeochanya
sports~lady⚽️ (@shadowsnip01) 's Twitter Profile Photo

Utawala bora ni pamoja na kutekeleza majukumu kwa kufuata misingi ya haki , hivyo viongozi wanapaswa kuhakikisha kuwa wale wanao waongoza wanawatendea haki. #sisiniTanzania #matokeochanya #nchiyangukwanza

Utawala bora ni pamoja na kutekeleza majukumu kwa kufuata misingi ya haki , hivyo viongozi wanapaswa kuhakikisha kuwa wale wanao waongoza wanawatendea haki.
#sisiniTanzania #matokeochanya #nchiyangukwanza
MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

Zaidi ya Viongozi 1000 wa Serikali za Mitaa na Vyama vya Upinzani Songea Wapewa Mafunzo ya Uongozi Bora: Hatua ya Kipekee kwa Demokrasia na Maendeleo ya Tanzania Songea, Ruvuma — Katika hatua muhimu ya kuimarisha misingi ya utawala bora na kukuza demokrasia jumuishi, zaidi ya

Zaidi ya Viongozi 1000 wa Serikali za Mitaa na Vyama vya Upinzani Songea Wapewa Mafunzo ya Uongozi Bora: Hatua ya Kipekee kwa Demokrasia na Maendeleo ya Tanzania

Songea, Ruvuma — Katika hatua muhimu ya kuimarisha misingi ya utawala bora na kukuza demokrasia jumuishi, zaidi ya
sports~lady⚽️ (@shadowsnip01) 's Twitter Profile Photo

Ili kuendelea kutoa huduma bora za afya inategemea pia uwepo wa miundombinu wezeshi, katika awamu ya sita ujenzi wa hospitali za kisasa unafanyika ili kuwezesha utoaji wa huduma bora kwa jamii. #sisiniTanzania #matokeochanya #nchiyangukwanza #siondototena #kaziiendelee

Ili kuendelea kutoa huduma bora za afya inategemea pia uwepo wa miundombinu wezeshi, katika awamu ya sita ujenzi wa hospitali za kisasa unafanyika ili kuwezesha utoaji wa huduma bora kwa jamii.
#sisiniTanzania #matokeochanya #nchiyangukwanza #siondototena #kaziiendelee
sports~lady⚽️ (@shadowsnip01) 's Twitter Profile Photo

Ushirikiano baina ya nchi yetu na nchi zingine umeendelea kuimarishwa na kuendelea kufungua milango ya ushirikiano mpya. #sisiniTanzania #matokeochanya #nchiyangukwanza #katibanasheria #siondototena #kazinaututunasongambele

Ushirikiano baina ya nchi yetu na nchi zingine umeendelea kuimarishwa na kuendelea kufungua milango ya ushirikiano mpya.
#sisiniTanzania #matokeochanya #nchiyangukwanza #katibanasheria #siondototena #kazinaututunasongambele
sports~lady⚽️ (@shadowsnip01) 's Twitter Profile Photo

maji ni muhimu kwa kuwa mahitaji yake ni makubwa ,usogezaji wa huduma za maji safi na salama mijini na vijijini unaendelea kufanyika katika uongozi wa awamu ya sita na dhima ya kumtua ndoo mwanamke kichwani inaendelea kukamilika. #sisiniTanzania #matokeochanya #siondototena

maji ni muhimu kwa kuwa mahitaji yake ni makubwa ,usogezaji wa huduma za  maji safi na salama  mijini na vijijini unaendelea kufanyika katika uongozi wa awamu ya sita na dhima ya kumtua ndoo mwanamke kichwani inaendelea kukamilika.
#sisiniTanzania #matokeochanya #siondototena
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo la Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kabla ya uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya mwaka 2001 Toleo la Mwaka 2024, katika Kituo cha Mikutano cha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo la Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kabla ya uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya mwaka 2001 Toleo la Mwaka 2024, katika Kituo cha Mikutano cha
sports~lady⚽️ (@shadowsnip01) 's Twitter Profile Photo

JE !NI SAHIHI KWA RAIA WA NCHI MWANACHAMA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUSHIRIKI KATIKA SIASA ZA NCHI NYINGINE MWANACHAMA? KAMA NDIYO AU HAPANA JIBU KWA HOJA

Godfather fan (@godfxer_fan) 's Twitter Profile Photo

Karibu Tanzania Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah, Rais wa Jamhuri ya Namibia! Tanzania ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inajivunia kukuona ukiwasili, ishara ya kuimarika kwa ushirikiano wa kidiplomasia na maendeleo ya Afrika. #kaziNaUtu #TunasongaMbele

Karibu Tanzania Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah, Rais wa Jamhuri ya Namibia!

Tanzania ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inajivunia kukuona ukiwasili, ishara ya kuimarika kwa ushirikiano wa kidiplomasia na maendeleo ya Afrika.
#kaziNaUtu
#TunasongaMbele
sports~lady⚽️ (@shadowsnip01) 's Twitter Profile Photo

Jamii inahitaji kuelimishwa na kufahamu masuala mbalimbali yanayohusu sheria ili kuwawezesha kupata haki zao. #sisiniTanzania #mslac #matokeochanya #kazinaututunasongambele

Jamii inahitaji kuelimishwa na kufahamu masuala mbalimbali yanayohusu sheria ili kuwawezesha kupata haki zao.
#sisiniTanzania #mslac #matokeochanya #kazinaututunasongambele
sports~lady⚽️ (@shadowsnip01) 's Twitter Profile Photo

Uwepo wa sera ya mambo ya nje inasaidia kuongoza mahusiano kati ya nchi husika na mataifa mengine duniani hivyo ili kuhakikisha yanafanyika kwa weledi uboreshwaji wa sera hizi ni muhimu na mhe, Rais amelifanya kwa vitendo. #sisinitanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya

Uwepo wa sera ya mambo ya nje inasaidia kuongoza mahusiano kati ya nchi husika na mataifa mengine duniani hivyo ili kuhakikisha  yanafanyika kwa weledi uboreshwaji wa sera hizi ni muhimu na mhe, Rais amelifanya kwa vitendo. 
#sisinitanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya
sports~lady⚽️ (@shadowsnip01) 's Twitter Profile Photo

Kukua kwa sekta ya utalii nchini kumeleta faida nyingi ikiwemo ongezeko la pato la taifa kupitia fedha za kigeni,umeimarisha maendeleo ya miundombinu kama barabara, huduma za afya pia kutengeneza ajira kwa wananchi. #matokeochanya #sisiniTanzania #nchiyangukwanza #siondototena

Kukua kwa sekta ya utalii nchini kumeleta faida nyingi ikiwemo ongezeko la pato la taifa kupitia fedha za kigeni,umeimarisha maendeleo ya miundombinu kama barabara, huduma za afya pia kutengeneza ajira kwa wananchi. 
#matokeochanya #sisiniTanzania #nchiyangukwanza #siondototena