Seif Sharif Hamad (@seifsharifhamad) 's Twitter Profile
Seif Sharif Hamad

@seifsharifhamad

National Chairman @ACTWazalendo and First Vice President of Zanzibar.

ID: 2829564821

linkhttp://mkr1znz.wordpress.com/ calendar_today14-10-2014 14:04:14

1,1K Tweet

152,152K Takipçi

60 Takip Edilen

Seif Sharif Hamad (@seifsharifhamad) 's Twitter Profile Photo

Muda huu nakutana na Mawakala wa Uchaguzi wa ACTWazalendo wa vituo vyote vya kisiwa cha #Unguja hapa kwenye Ofisi Kuu ya Chama iliyopo Vuga, #Zanzibar ili kuwapa maelekezo ya Chama kuhusiana na umuhimu wa Uchaguzi Mkuu. Tumedhamiria kushinda na kulinda ushindi wetu.

Muda huu nakutana na Mawakala wa Uchaguzi wa <a href="/ACTwazalendo/">ACTWazalendo</a> wa vituo vyote vya kisiwa cha #Unguja hapa kwenye Ofisi Kuu ya Chama iliyopo Vuga, #Zanzibar ili kuwapa maelekezo ya Chama kuhusiana na umuhimu wa    Uchaguzi Mkuu. Tumedhamiria kushinda na kulinda ushindi wetu.
Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

#Tanga pia wapo tayari kuondoa serikali hii ya kidhalimu. Asanteni sana Tanga. Twende tukapige kura ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu! #SasaBasi #ChaguaLissu #ChaguaCHADEMA #NiYeye2020 #TunduLissu2020 #NguvuYaUmma

Seif Sharif Hamad (@seifsharifhamad) 's Twitter Profile Photo

Asubuhi hii nimewasili #Pemba kwa ajili ya Mkutano wa kufunga Kampeni zangu katika kisiwa hichi unaofanyika Viwanja vya #Tibirinzi, Chake Chake. Sina chembe ya wasiwasi kwa jinsi wananchi wa Unguja na Pemba walivyohamasika mwaka huu tutaandika historia na kuiondoa CCM madarakani.

Nataka nimsikie Sirro #tanpol akimwambia Hussein Mwinyi kuwa kafanya uchochezi, pia kamati ya maadili ya ZEC ikimsimamisha Hussein Mwinyi.

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Rais Dr John Magufuli na Bwana Shein nawaomba sana sana mwachieni Mazrui Huru. Acheni Zanzibar ifanye Uchaguzi wake kwa Haki. Acheni Wazanzibari waamue Kiongozi wanayemtaka

Ismail Jussa (@ismailjussa) 's Twitter Profile Photo

#ALERT: Just over an hour ago, ACT Wazalendo #Zanzibar Campaign Manager and the party’s Deputy Secretary-General for Zanzibar, Nassor Mazrui, was attacked and abducted at Saateni, Zanzibar Town, a few minutes after leaving his house on his way to the party offices.

#ALERT: Just over an hour ago, ACT Wazalendo #Zanzibar Campaign Manager and the party’s Deputy Secretary-General for Zanzibar, Nassor Mazrui, was attacked and abducted at Saateni, Zanzibar Town, a few minutes after leaving his house on his way to the party offices.
Seif Sharif Hamad (@seifsharifhamad) 's Twitter Profile Photo

My statement following the shooting and killing of innocent and unarmed civilians in #Pemba #ZanzibarLivesMatter #ZanzibarLivesMatter #ZanzibarLivesMatter

My statement following the shooting and killing of innocent and unarmed civilians in #Pemba

#ZanzibarLivesMatter 
#ZanzibarLivesMatter 
#ZanzibarLivesMatter
Seif Sharif Hamad (@seifsharifhamad) 's Twitter Profile Photo

Natoa wito kwa Wazanzibari wote kesho In shaa Allah kujitokeza kwa wingi vituoni kwenda kupiga kura. Ushindi ni wetu ukiachia mbali vituko vyote walivyofanya. USHINDI BADO NI WETU

Natoa wito kwa Wazanzibari wote kesho In shaa Allah kujitokeza kwa wingi vituoni kwenda kupiga kura. Ushindi ni wetu ukiachia mbali vituko vyote walivyofanya. USHINDI BADO NI WETU
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

To respect the wishes of the people we need to run a new election both in Zanzibar and Tanzania Mainland by independent electoral bodies. For that that matter we shall demand these rights in the streets.

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Nassor Mazrui is deputy Secretary General of ACTWazalendo and Campaign Manager Zanzibar 2020 elections for Seif Sharif Hamad. 10 days ago Mazrui was abducted from his Hotel. Police confirms to have him but we have never seen him. He hasn’t seen a lawyer nor family. 10 days today

<a href="/MazruiNassor/">Nassor Mazrui</a> is deputy Secretary General of <a href="/ACTwazalendo/">ACTWazalendo</a> and Campaign Manager Zanzibar 2020 elections for <a href="/SeifSharifHamad/">Seif Sharif Hamad</a>. 10 days ago Mazrui was abducted from his Hotel. Police confirms to have him but we have never seen him. He hasn’t seen a lawyer nor family. 10 days today
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Kwa uchungu mkubwa nawajulisha kuhusu msiba mkubwa tuliopata wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Mkt wa Kamati ya Maadili Maalim Abubakar Khamis Bakar. Tangu walipompigia risasi chini ya miguu usiku wa tarehe 28/10/2020 hakuwa Sawa mpaka umauti. Inna lillah waina ilaih raajiun

Kwa uchungu mkubwa nawajulisha kuhusu msiba mkubwa tuliopata wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Mkt wa Kamati ya Maadili Maalim Abubakar Khamis Bakar. Tangu walipompigia risasi chini ya miguu usiku wa tarehe 28/10/2020 hakuwa Sawa mpaka umauti. Inna lillah waina ilaih raajiun
Seif Sharif Hamad (@seifsharifhamad) 's Twitter Profile Photo

Nawashukuru watanzania wote walionitakia Kheri na kuniombea nipone haraka. Hali yangu inazidi kuimarika na nawashukuru Madaktari na wahudumu wa afya kwa jitihada zao. Naungana na wito uliotolewa na Chama changu cha Act Wazalendo juu ya kuendelea kuchukua tahadhari.