@scoffilled
ID: 1904137877258194944
calendar_today24-03-2025 11:47:10
75 Tweet
263 Followers
478 Following
5 months ago
Hitting them with "kiasi nakucall" when the call gets annoying>>>
Mungu nifanyie venye mamangu alikuambia kwa maombi.
Mungu Baba nipee kazi ju ingekuwa ni mimi ningekupea
Are you this old?
labda ata zebra ndio mnyama mzee kwa wote juu iko black and white
4 months ago
Send this to her
Cousin yangu akiwa na mimba alikuwa anavalia sweater kubwa nikaskia mama yake akisema “ukiendea mimba ulikuwa nusu uchi saa hii ndio unajua kuvaa kama wafuasi wa Owour"😂😂😂💔
3 months ago
Mapenzi itaniulia jirani kila siku naskia "listen to me "😂
Mficha uchi, hujibaka😂😂
Ati"hey am using whatsapp" kwani sisi tunatumia sufuria?😂😂
Sikatai wewe ni richkid lakini mbona uite Strong tea yangu maji imeungua??🖐🏾😔
Therapist amesema naweza kunywa kidogo, leo msiniache jameni nitakuja na madem😂
Masai ametuma pesa wrong number akatoa battery ndio isiende😂
"Ati mmesema niwapate wapi '' ndio nimeachiliwa na bibi ya jirani
One man's “ mteja hapatikani kwa sasa” is another man's “nisaidie t-shirt kubwa”
Niambie tu ninunue nguo zingine kazi ya kuniambia nilikuona nikajuwa ni wewe acha
Sai incase ujikate na wembe upate HIV kuna mtu atakuamini kweli?
Dowry ya dem Mturkana ni maji glass nane ama picha ya mvua