FUNDI~Samwel🇹🇿 (@samskills_tz) 's Twitter Profile
FUNDI~Samwel🇹🇿

@samskills_tz

Mechanical technician |Car Advise |Founder SGL |Street speaker |Mindset |Business Owner

ID: 1439927502600802305

linkhttps://Linkedin.com/in/samwelf92 calendar_today20-09-2021 12:21:08

18,18K Tweet

4,4K Followers

5,5K Following

FUNDI~Samwel🇹🇿 (@samskills_tz) 's Twitter Profile Photo

JE,WAJUWA ? 👇 "Utofauti ya GENERAL CHECKUP na SAFARI CHECKUP kwenye magari!" Leo nikujuze zaidi hapa shuka na hii 1. GENERAL CHECKUP~Huu ni uchunguzi wa muda mrefu wa gari katika mifumo yake yote inayoendesha gari,mfano ni ~Break system ~Fuel system ~Transmission system n.k

JE,WAJUWA ?
👇
"Utofauti ya GENERAL CHECKUP na SAFARI CHECKUP kwenye magari!" Leo nikujuze zaidi hapa shuka na hii

1. GENERAL CHECKUP~Huu ni uchunguzi wa muda mrefu wa gari katika mifumo yake  yote inayoendesha gari,mfano ni 
~Break system 
~Fuel system 
~Transmission system n.k
FUNDI~Samwel🇹🇿 (@samskills_tz) 's Twitter Profile Photo

Unamiliki gari na hujui lolote kuhusu GENERAL SERVICE? Tumia simple manual hii hapa,utalinda gari lako na litadumu kwa muda wote. Ushauri bure wa.ma/c/255714180469 🔃Like 🔃Repost 🔃Share 🙏 Simple Uzi..🧵 👇

Unamiliki gari na hujui lolote kuhusu GENERAL SERVICE?

Tumia simple manual hii hapa,utalinda gari lako na litadumu kwa muda wote. Ushauri bure wa.ma/c/255714180469 

🔃Like 
🔃Repost 
🔃Share
🙏

Simple Uzi..🧵
👇
FUNDI~Samwel🇹🇿 (@samskills_tz) 's Twitter Profile Photo

Sikia nikwambie🤔 Wanawake Wengi wanapoteza Wanaume sahihi kwa sababu ya Ushauri wa rafiki zao wenye upweke, wivu na roho mbayaa..! #Sinahatia🙌

Sikia nikwambie🤔 
Wanawake Wengi wanapoteza Wanaume sahihi kwa sababu ya Ushauri wa rafiki zao wenye upweke, wivu na roho  mbayaa..!

#Sinahatia🙌
FUNDI~Samwel🇹🇿 (@samskills_tz) 's Twitter Profile Photo

Binadamu yoyote lazima apitie nyakati ngumu, hii hufanya kujuwa nani ni rafiki nani ni familia, na nani ni mpita njia tu kwenye maisha yake...✍ #GoodMorningX 🤝

FUNDI~Samwel🇹🇿 (@samskills_tz) 's Twitter Profile Photo

Sikia nikwambie🤔 Jiandae kuwapoteza watu wako wengi wa karibu pindi tuu utapoanza kuwa serious kutimiza Ndoto za maisha yako. #Sinahatia🙌

Sikia nikwambie🤔 
Jiandae kuwapoteza watu wako wengi wa karibu pindi tuu utapoanza kuwa serious kutimiza Ndoto za maisha yako.

#Sinahatia🙌
FUNDI~Samwel🇹🇿 (@samskills_tz) 's Twitter Profile Photo

Morning my people Generally & Safari checkup, bei ya kizalendo🇹🇿 ~Tsh 40,000/= tu 📞 wa.ma/c/255714180469 🎯 Dodoma city near BM coach SATIVA17 The champ👑 Adventure-360 Fumbo Khan #Fundimagari🚘

FUNDI~Samwel🇹🇿 (@samskills_tz) 's Twitter Profile Photo

Hii ni kwa wapenda magari na majirani zao🚘 🎯 Dodoma city near BM coach ☎️ wa.ma/c/255714180469 Tengeneza nasi popote ulipo kwa spear za uhakika🔩🧰 #Fundimagari

Hii ni kwa wapenda magari na majirani zao🚘

🎯 Dodoma city near BM coach 
☎️ wa.ma/c/255714180469 

Tengeneza nasi popote ulipo kwa spear za uhakika🔩🧰

#Fundimagari