ABD (@samatajr_12) 's Twitter Profile
ABD

@samatajr_12

AgriPreneur | Farmer | Family First

ID: 704688581

calendar_today08-10-2013 08:21:10

57,57K Tweet

2,2K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Balozi Wa Kusini (@baloziwakusini) 's Twitter Profile Photo

Mtu kama Mwijaku anaweza akasema chochote atakachotaka bila kujali ataumiza wangapi na kwa family pia na akawa huru na Salama kwa 10000% Lakini kuna mimi nitakuwa na mtazamo Tofauti na yeye basi ndo Itakua mwisho wa Uhai wangu .. Hii ndo Tanzania ya Nyerere ilipofikia💔

ABD (@samatajr_12) 's Twitter Profile Photo

Kule IG washauri wa Kifedha na Uwekezaji siku hizi wamekuwa wengi balaaa🤣 washawazidi Idadi Madalali wa Viwanja na magari🤦‍♂️

Kule IG washauri wa Kifedha na Uwekezaji siku hizi wamekuwa wengi balaaa🤣
washawazidi Idadi Madalali wa Viwanja na magari🤦‍♂️
ABD (@samatajr_12) 's Twitter Profile Photo

Kifurushi cha Kipupwe Mwendokasi za Kijani Kivukoni Kimara kishaisha muda wake🤣 ni Mwendo wa Chipsi kavu tu sasa🤦‍♂️ Tanzania my country 🙌 Tanzania Bound Buses Southern Highland Buses

Kifurushi cha Kipupwe Mwendokasi za Kijani Kivukoni Kimara kishaisha muda wake🤣
ni Mwendo wa Chipsi kavu tu sasa🤦‍♂️
Tanzania my country 🙌 <a href="/TBoundBuses/">Tanzania Bound Buses</a> <a href="/SouthernBuses/">Southern Highland Buses</a>
ABD (@samatajr_12) 's Twitter Profile Photo

Super Taku’s mtabe mwingine wa Mbarali mh Diwani mkulima na msafirishaji ameamua kuonja test ya mizigo sasa baada muda mwingi kukomaa na kusafirisha Abiria na kukoboa Mipunga Mashineni mwake🤣

Super Taku’s mtabe mwingine wa Mbarali mh Diwani mkulima na msafirishaji ameamua kuonja test ya mizigo sasa baada muda mwingi kukomaa na kusafirisha Abiria na kukoboa Mipunga Mashineni mwake🤣
Hika Lyimo (@iamthatfemale) 's Twitter Profile Photo

Mara nyingi watu tunaojinadi kuwa tumeshika dini huwa ndio tuna roho za ajabu sana. Sijui why but most would surprise you. Tujiombee tuwe na mioyo ya huruma na humbleness ili tusiweze kujisahau sana.. 🙏🏽

S C O O B Y V E L L I 💯 (@incredible_nory) 's Twitter Profile Photo

Nyakati hizi kama huna chakuongea bora ukae kimya tu….watu wana machungu yao mengi sana mioyoni; asa kama huna cha kuwafariji bora ukaushe maana kusifia pia ni kukosea “wafiwa” !!! Unasifia PILAU LA MSIBA tamu wakati MAREHEMU kaacha mke na watoto?!!🥹 Mtazamo Tu, Msijenge Chuki

ABD (@samatajr_12) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 2019 nilijiwekeaga Malengo ya msingi 4 niyafanye kwa mwaka 2020-2021 Namshukuru Mungu nimefanikiwa yote Malengo 3 & 4 yamekwenda mbali zaid no3 Dogo anaenda kuwa Faza House baada kumuwezesha no4 tumevuka lengo zipo more than 10acres uzaramoni Mungu ni Mkubwa siku zote🙏

Mwaka 2019 nilijiwekeaga Malengo ya msingi 4 niyafanye kwa mwaka 2020-2021
Namshukuru Mungu nimefanikiwa yote Malengo  
3 &amp; 4 yamekwenda mbali zaid
no3 Dogo anaenda kuwa Faza House baada kumuwezesha
 no4 tumevuka lengo zipo more than 10acres uzaramoni 
Mungu ni Mkubwa siku zote🙏
Maalim Nash (@nashemcee) 's Twitter Profile Photo

Watu wamepoteza ndugu zao,mimi Almanusura nimpoteze mtoto wangu aliyezidiwa kwa Homa kali usiku ikawa ngumu kutoka kwenda Hospital lakini kuna soja jirani alisaidia na Mke wangu alifika Hospital,kwa Hiyo kama huna la kuongea,Nyamaza tu kuliko kutudhihirishia kama wewe ni Msenge.

Omalicha 💕 (@itsmonaleesah) 's Twitter Profile Photo

Kuna kituo cha watoto yatima kipo Tegeta Kibo huwa nakitembelea mara kwa mara kinaitwa Al-Markaz Swahilina wanaomba msaada wa chakula namba za kuwasiliana nazo ni hizo 0782517878(Mkuu wa kituo)

Kuna kituo cha watoto yatima kipo Tegeta Kibo huwa nakitembelea mara kwa mara kinaitwa Al-Markaz Swahilina wanaomba msaada wa chakula namba za kuwasiliana nazo ni hizo 0782517878(Mkuu wa kituo)