Sam dijen (@sam_mm3) 's Twitter Profile
Sam dijen

@sam_mm3

Trading Shitcoin for a Living | sharing tips and solutions about shitcoin |wa.link/l5o4m6

ID: 1691195863429722112

linkhttps://chat.whatsapp.com/DwNVuiu6oUr9CHxnXbxORZ calendar_today14-08-2023 21:11:50

20,20K Tweet

11,11K Followers

5,5K Following

Sam dijen (@sam_mm3) 's Twitter Profile Photo

Yule jamaa alikuwa analala sana darasani hadi nahurumia wazazi wake anadrive bana, tumekutana town akaninunulia gazeti niendelee kusoma😂😂

Gillsant v10 (@gillsaint) 's Twitter Profile Photo

Nikikumbuka rafiki yangu alikua ananiambia tununue bitcoins at that time Ilikua bitcoin 1 ni $5 mwaka 2012.. Nilikua namuona kama kichaa 😮‍💨 1 Bitcoin Today Price

Nikikumbuka rafiki yangu alikua ananiambia tununue bitcoins at that time Ilikua bitcoin 1 ni $5 mwaka 2012.. Nilikua namuona kama kichaa 😮‍💨 1 Bitcoin Today Price
DOGO WA NONDE (@festokaguo) 's Twitter Profile Photo

@Mopao24 Mr.Eagle 🦅 Samdijen Aah tulia wewe kuna kozi nilinunua $120 hapa sijawahi mgawia mtu na ndio kozi pekee ilinipa 5$ to 25$ uukiachana na madarasa ya Chilleh sijawahi pata kitu sema usitegemee signal dig deep kaka 😂

@Mopao24 Mr.Eagle 🦅 Samdijen Aah tulia wewe kuna kozi nilinunua $120 hapa sijawahi mgawia mtu na ndio kozi pekee ilinipa 5$ to 25$ uukiachana na madarasa ya Chilleh sijawahi pata kitu sema usitegemee signal dig deep kaka  😂
Sam dijen (@sam_mm3) 's Twitter Profile Photo

Amounts za token bought ni 41.4k na amount za token sold 2.7M Means idadi ya token alizouza ni kubwa kuliko alizo nunua Huyo utageuzwa exit liquidity

@Mopao24 (@mopao224) 's Twitter Profile Photo

Wanangu bila kusahau hii June mambo ni SITA tu 1.maombi 2.kuogopa wanawake 3.kuwa busy 4.kuogopa wanawake 5.kujipenda 6.kuogopa wanawake Full stop✅💯

DOGO WA NONDE (@festokaguo) 's Twitter Profile Photo

Samdijen Yaani ubaya wa hii ngoma ni kwamba ukitumia mda mwingi kukagua token unakuja kushtuka ni either imedump au ushachelewa kitambo maana ukiingia Dexscreener utaanza kuangalia Liquidity sijui socials mara Holders wapo wangapi nani kahold nyingi mambo ya Volume kama buyers wengi nini

@Mopao24 (@mopao224) 's Twitter Profile Photo

Dogo wa Nonde No bro sio kwa siku moja saici Nina miezi kama 8 since nimenza kujifunza,😂💔 lakini hakuna progress kaz ni kudeposit TU Ani pia nahix katika hii industry mchawi ni machimbo na uwe na mtaji wa mkubwa ila ivi $10 vyetu kuvioandisha ni kasheshe sana aiseeh🙌

Sam dijen (@sam_mm3) 's Twitter Profile Photo

Dogo wa Nonde Hivyo vyote havina msingi Tumia axiom kuangalia kila kitu in simple way Pia holders number haina umuhimu , pia kama LP iko banned 100% hakuna kuangalia liquidity na kuhusu volume just deal na volume bars achana na buyers na sellers.

DOGO WA NONDE (@festokaguo) 's Twitter Profile Photo

Kuna watu wengine kutoka nje ya nchi wanasumbua hawaridhiki na faida wanakwambia naomba utumie GMGM na Axiom nahitaji kutrack wallets anakupa mbinu ambazo hata wewe ulikuwa huzijui, na yupo tayari hata kulipa 50$ per wallet 1 au 20$

@Mopao24 (@mopao224) 's Twitter Profile Photo

Vitu vidogo vidogo🙏 Nina uhakika hii nikipiga full course ya memecoins kwa Samdijen nikiongezea maharifa kwa Dogo wa Nonde basi miaka mitano mbeleni inshallah😂 au mnanipinga wakuu??

Vitu vidogo vidogo🙏
Nina uhakika hii nikipiga full course ya memecoins kwa Samdijen nikiongezea maharifa kwa Dogo wa Nonde basi miaka mitano mbeleni inshallah😂 au mnanipinga wakuu??
AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

1). Wamezima Telegram 2). Wamezima X Soon Wanafika—Instagram, Facebook & WhatsApp—Just a Matter of time Maana yake Wale Wote waliojiajiri Online—Wanageuka Ma-JOBLESS And…NOBODY Cares! Tuna VIONGOZI wa Ajabu na Very Selfish!