🌴Humble Boe X 💡 (@sam_el50) 's Twitter Profile
🌴Humble Boe X 💡

@sam_el50

Be Humble/⚽#simbafans🦁& #chelseafan/#HereWeGo👊🔥

ID: 1486689542254039040

calendar_today27-01-2022 13:16:38

58,58K Tweet

9,9K Followers

4,4K Following

Malaika (@magdiemma2) 's Twitter Profile Photo

Jitahidi sana kutokuwa chanzo cha maumivu kwa wengine maana katikati ya maumivu makali kuna maombi ya machozi na matamkwa ya laana.

Mswahili___💡 (@mswahili___) 's Twitter Profile Photo

Kuna mwanangu alinambia anataka kufungua biashara nikamuuliza biashara gani akanambia kuchoma mahindi , kmmk yani hii cycle yangu mambo ya G Wagon tusahau 😂😂😂😂🙌🏿

𝗪𝗮𝗺𝗰𝗵𝗼𝗻𝗴𝗼 (@goldenmvrs) 's Twitter Profile Photo

Pengine Kuna Changamoto Unapitia Ambazo Hata Ndugu Zako, Rafiki Zako, Mpenzi Wako, Wazazi Wako, Watoto Wako Ama Famila Yako Kwa Ujumla Hawazifahamu , Umechagua Kupambania Bila Wao Kuwatia Unyonge.. Trust Me Hilo Litapita Na Kila Kitu Kitakaa Sawa.

LOCHO (@muandazi) 's Twitter Profile Photo

SIKU MOJA MSAKI ALIPOST ANDIKO AMBALO LILIHUSU SINGLE MOTHER WATU WENGI WALI COMMENTILA KUNA COMMENTS ZA MTU MOJA NDO ZILITEKA HISIA ZA WATU FUATILIA COMMENT HIZO HAPO CHINI👇👇

SIKU MOJA MSAKI ALIPOST ANDIKO AMBALO LILIHUSU SINGLE MOTHER

WATU WENGI WALI COMMENTILA KUNA COMMENTS ZA MTU MOJA NDO ZILITEKA HISIA ZA WATU

FUATILIA COMMENT HIZO HAPO CHINI👇👇
Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

Ukifika pale Italia kwenye milima ya Apennine kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa San Marino. Hapa kuna Ma Rais wa nchi wawili ambao huchaguliwa kila baada ya miezi sita. Nchi hii unayo iona hapo kwenye picha wana pesa yao inaitwa Sammarinese lira na Jeshi lao. Mfumo wa kuwa na

Ukifika pale Italia kwenye milima ya Apennine kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa San Marino.

Hapa kuna Ma Rais wa nchi wawili ambao huchaguliwa kila baada ya miezi sita.

Nchi hii unayo iona hapo kwenye picha wana pesa yao inaitwa Sammarinese lira na Jeshi lao.

Mfumo wa kuwa na
Malaika (@magdiemma2) 's Twitter Profile Photo

Amani si kutokuwa na matatizo bali ni uwezo wa kutulia katikati ya matatizo hayo kwa muda huku ukitafakari kwa busara na hekima namna bora ya kutatua matatizo hayo pasipo uvunjifu wa amani.

Paul Clementy (@paulclementy) 's Twitter Profile Photo

Popote usomapo hii Ndugu, Nakutakia siku njema iliyojaa mafanikio kwa ajili yako na familia yako. Ikawe ni mwanzo mzuri wa mambo mazuri mbele yako. Good morning🙏