Mahaja Sallu (@sallu_mahaja) 's Twitter Profile
Mahaja Sallu

@sallu_mahaja

news

ID: 1292890471686189056

calendar_today10-08-2020 18:28:34

314 Tweet

289 Takipรงi

1,1K Takip Edilen

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

๐—ก๐—•๐—– ๐—ฃ๐—ฅ๐—˜๐— ๐—œ๐—˜๐—ฅ ๐—Ÿ๐—˜๐—”๐—š๐—จ๐—˜ ๐—–๐—›๐—”๐— ๐—ฃ๐—œ๐—ข๐—ก๐—ฆ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฎ-๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฏ๐Ÿ”ฐ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

๐—ก๐—•๐—– ๐—ฃ๐—ฅ๐—˜๐— ๐—œ๐—˜๐—ฅ ๐—Ÿ๐—˜๐—”๐—š๐—จ๐—˜ ๐—–๐—›๐—”๐— ๐—ฃ๐—œ๐—ข๐—ก๐—ฆ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฎ-๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฏ๐Ÿ”ฐ

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Mahaja Sallu (@sallu_mahaja) 's Twitter Profile Photo

TFF angalieni uwezekano wa kuleta ma refa kutoka nje ya Tanzania mnashindwaje mbona mruhusu wachezaji na makocha kutoka nje?

Mahaja Sallu (@sallu_mahaja) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Kuna watu wanavipaji ila wanakosa watu wa kuwanyanyua na akipatikana wa kuwainua wakiinuka wanamsahau aliyewainua na badala yake wanamsakama kwamba anawanyanyasa suluhisho Ni taasisi za fedha kuwa na mkopo kwa wenye vipaji ili kuwainua kwa makubaliano maalum!

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa Young Africans Sports Club unatoa pole kwa wahanga wote wa mafuriko yaliotokea katika eneo la Katesh, wilaya ya Hanang, mkoani Manyara. Mwenyezi Mungu azilaze mahala pema, roho za marehemu waliofariki katika mafuriko hayo na tunawaombea majeruhi wote wapone haraka na

Mahaja Sallu (@sallu_mahaja) 's Twitter Profile Photo

Mhe.Rais kitengo Cha maendeleo ya jamii kimezidiwa kazi kiongezewe watu hasa wana saikolojia Kila Kijiji ili watoe elimu kwa jamii yetu maana Kila kukicha ni mwendo wa mauaji mpaka kero!!! Naomba kuwasilisha

Mahaja Sallu (@sallu_mahaja) 's Twitter Profile Photo

Ekari Elfu arobaini hewa Ina maana watu wamechukulia viuatilifu na wananchi wanatakiwa kukatwa sh.300/ kwa Kila kilo ya pamba bila kujali alichukua viuatilifu au hakuchukua!