Salioya (@salioya1) 's Twitter Profile
Salioya

@salioya1

#Fundi umeme wa magali
madogo na makubwa
popote ukiniitaji nafika
#TMK OFICE Cal +255711352101

ID: 1275718517111828485

calendar_today24-06-2020 09:13:07

90 Tweet

306 Followers

1,1K Following

Mbwana Samatta (@samagoal_77) 's Twitter Profile Photo

Ugumu wa mpira ni mazoezi especially katika kipindi cha preseason usinione natabasamu hapo kwnye picha😁 ukinitafuta baada ya mazoez ata tabasamu alitoki😆

Ugumu wa mpira ni mazoezi especially katika kipindi cha preseason usinione natabasamu hapo kwnye picha😁 ukinitafuta baada ya mazoez ata tabasamu alitoki😆
Salioya (@salioya1) 's Twitter Profile Photo

#Huu ndio muda wa Wabunge Madiwani Nawana siasa wote kutuahidi vitu vyauongo Tukiwapa kura na mtaani wanahama kabisa Utasikia oooh kure uswazi sana Masera wengi Kwanini wanakua iviii Sema JPM Hua anapita naoooo

Salioya (@salioya1) 's Twitter Profile Photo

Wachee watuahidi Mambo kibaoo Sisi tupo kimya tua Sisi watanzania wote tuna fanya kazi yetu sekunde tu Tukutane octoba 28

Salioya (@salioya1) 's Twitter Profile Photo

Ukiishi kwa kujifunza naamini Kila changamoto utakayo kutana nayo utaona nikama maswali kwako Kwaiyo utabidi uyajibu nasio kulalamikia watu Jiamini tutafika

Salioya (@salioya1) 's Twitter Profile Photo

Mkoa wa pwani to daresalam maeneo ya temekee mipeko kwenda mbande tunapata shida sana mh JP MAGUFURI FANYA SULUHISHO RAIS WETUU

Dr John Magufuli (@magufulijp) 's Twitter Profile Photo

Naitwa John Pombe Joseph Magufuli, mgombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ewe Mtanzania mwenzangu, naomba kura yako ya ndio tarehe 28/10/2020. Chagua Magufuli kwa maendeleo ya kweli ili tuendelee kujenga Tanzania mpya. Asante.