Osamacare is still active and alive. It covers the following packages.
1. Supporting small businesses.
2. Buying drinks to comrades.
3. Kabej gang are well catered for.
4. Giving out gigs.
I Am Just A Boy.
Lakini tuambiane ukweli hio wimbo ya Bien latest ya My Enemies Are Suffering ni a solid 5 hio ingine na huyo msomali ni a solid 4.8 ni vile fanatics hawapendi ukweli ndio maana longevity yake ni 2 seconds kama mmesahau. Otile naye amemaster kutoa long lasting songs za mafeelings
There's is a time nikaona Bensoul akisema ngoma za Otile ziko overrated, Bensoul bila sauti soul hatungejua anaexist, Otile ni msee ametengeneza brand yake solo unlike Bien amekua kwa Sauti sol pale ata kama ndo alikua master, Otile amestand out solo, Otile deserves some flowers