Russia in Tanzania (@rusembtz) 's Twitter Profile
Russia in Tanzania

@rusembtz

Official account of the Embassy of the Russian Federation in the United Republic of Tanzania - Официальный аккаунт Посольства России в Танзании в X

ID: 2872855836

linkhttps://tanzania.mid.ru/en/ calendar_today23-10-2014 08:06:16

2,2K Tweet

21,21K Takipçi

406 Takip Edilen

Russian House in Dar es Salaam (@rcsc_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Shukrani za Rais wa Tanzania: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amefahamishwa juu ya ongezeko la idadi ya ufadhili wa vijana wa Kitanzania kwa ajili ya masomo katika vyuo vikuu vya Urusi. Endelea kusoma: facebook.com/russiancultura…

Russia in Tanzania (@rusembtz) 's Twitter Profile Photo

🇷🇺🇺🇸 Tangazo la Yuri Ushakov, Msaidizi wa Rais wa Urusi, kuhusu mkutano kati ya Vladimir Putin na Mjumbe Maalum wa Rais wa Marekani Steve Witkoff (Moscow, Julai 6): en.kremlin.ru/events/preside… Alisema mapatano ya kuratibisha mkutano wa kilele Putin-Trump hivi karibuni yanapatikana.

🇷🇺🇺🇸 Tangazo la Yuri Ushakov, Msaidizi wa Rais wa Urusi, kuhusu mkutano kati ya Vladimir Putin na Mjumbe Maalum wa Rais wa Marekani Steve Witkoff (Moscow, Julai 6): en.kremlin.ru/events/preside…
Alisema mapatano ya kuratibisha mkutano wa kilele Putin-Trump hivi karibuni yanapatikana.
MFA Russia 🇷🇺 (@mfa_russia) 's Twitter Profile Photo

🇷🇺🇦🇪 President of Russia Vladimir #Putin to President of the UAE محمد بن زايد: 💬 We attach special importance to our relations with the UAE. For Russia, the UAE is a friendly nation, and we've been maintaining contacts at high level. t.me/MFARussia/25917 #RussiaUAE

🇷🇺🇦🇪 President of Russia Vladimir #Putin to President of the UAE محمد بن زايد:

💬 We attach special importance to our relations with the UAE.

For Russia, the UAE is a friendly nation, and we've been maintaining contacts at high level.

t.me/MFARussia/25917

#RussiaUAE
Russia in Tanzania (@rusembtz) 's Twitter Profile Photo

🇷🇺🇿🇦 Julai 7 Rais wa Urusi Vladimir Putin alikuwa na mazungumzo ya simu na Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa: en.kremlin.ru/events/preside… 🌍🕊️Kwa upande wake, Urusi ilipongeza mpango mashuhuri wa amani wa nchi za Afrika unaolenga kusuluhisha mgogoro wa Ukraine.

🇷🇺🇿🇦 Julai 7 Rais wa Urusi Vladimir Putin alikuwa na mazungumzo ya simu na Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa: en.kremlin.ru/events/preside…

🌍🕊️Kwa upande wake, Urusi ilipongeza mpango mashuhuri wa amani wa nchi za Afrika unaolenga kusuluhisha mgogoro wa Ukraine.
MFA Russia 🇷🇺 (@mfa_russia) 's Twitter Profile Photo

🇷🇺🇨🇳📞 On August 8, President of Russia Vladimir Putin & President of China Xi Jinping had a telephone conversation. The two Leaders discussed a number of pressing matters of bilateral & international concern. t.me/MFARussia/25937 #RussiaChina

🇷🇺🇨🇳📞 On August 8, President of Russia Vladimir Putin & President of China Xi Jinping had a telephone conversation.

The two Leaders discussed a number of pressing matters of bilateral & international concern.

t.me/MFARussia/25937

#RussiaChina
MFA Russia 🇷🇺 (@mfa_russia) 's Twitter Profile Photo

🇷🇺🇮🇳📞 On August 8, President of Russia Vladimir #Putin & Prime Minister of India Narendra Modi held a telephone conversation. The Leaders exchanged views on key bilateral issues, including trade, economic, and investment cooperation. t.me/MFARussia/25938 #RussiaIndia

🇷🇺🇮🇳📞 On August 8, President of Russia Vladimir #Putin & Prime Minister of India Narendra Modi held a telephone conversation.

The Leaders exchanged views on key bilateral issues, including trade, economic, and investment cooperation.

t.me/MFARussia/25938

#RussiaIndia
Russia in Tanzania (@rusembtz) 's Twitter Profile Photo

❗️ Miaka 80 iliyopita, Umoja wa Kisovyeti iliingia vita dhidi ya serikali ya kichokozi ya Japan. ✌️ Operesheni ya Jeshi Jekundu iliyowezesha ukombozi wa maeneo ya kaskazini ya China na Korea ilitoa mchango mkubwa katika ushindi wa Allies katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia.

❗️ Miaka 80 iliyopita, Umoja wa Kisovyeti iliingia vita dhidi ya serikali ya kichokozi ya Japan.

✌️ Operesheni ya Jeshi Jekundu iliyowezesha ukombozi wa maeneo ya kaskazini ya China na Korea ilitoa mchango mkubwa katika ushindi wa Allies katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia.
MFA Russia 🇷🇺 (@mfa_russia) 's Twitter Profile Photo

🇷🇺🇺🇸📞 On August 12, Russia's FM Sergey #Lavrov & US Secretary of State @MarcoRubio spoke over the phone, discussed certain aspects of the upcoming meeting between President Vladimir #Putin & President Donald J. Trump in Alaska on August 15. t.me/MFARussia/25966 #RussiaUSA

🇷🇺🇺🇸📞 On August 12, Russia's FM Sergey #Lavrov & US Secretary of State @MarcoRubio spoke over the phone, discussed certain aspects of the upcoming meeting between President Vladimir #Putin & President Donald J. Trump in Alaska on August 15.

t.me/MFARussia/25966

#RussiaUSA
MFA Russia 🇷🇺 (@mfa_russia) 's Twitter Profile Photo

🇷🇺🇰🇵📞 President Vladimir Putin & Chairman of State Affairs of DPRK Kim Jong-un spoke over the phone. President Putin praised the support provided by DPRK during the liberation of the Kursk Region from the invading forces of the Kiev regime. t.me/MFARussia/25968 #RussiaDPRK

🇷🇺🇰🇵📞 President Vladimir Putin & Chairman of State Affairs of DPRK Kim Jong-un spoke over the phone.

President Putin praised the support provided by DPRK during the liberation of the Kursk Region from the invading forces of the Kiev regime.

t.me/MFARussia/25968

#RussiaDPRK
Russian House in Dar es Salaam (@rcsc_tanzania) 's Twitter Profile Photo

📣🔥 FREE ROBOTICS COURSES at the Russian House for children 🤖 DO YOU WANT TO MAKE YOUR OWN ROBOT? 🦾 YES, IT IS REAL! 👉AT 4PM on 25th of AUGUST we invite children and their parents to the FIRST TUTORIAL CLASS at the Russian House to get all information about the Course!

📣🔥 FREE ROBOTICS COURSES at the Russian House
for children

🤖 DO YOU WANT TO MAKE YOUR OWN ROBOT?
🦾 YES, IT IS REAL!

👉AT 4PM on 25th of AUGUST we invite children and their parents to the FIRST TUTORIAL CLASS at the Russian House to get all information about the Course!
MFA Russia 🇷🇺 (@mfa_russia) 's Twitter Profile Photo

💬 President Vladimir #Putin: President Donald J. Trump administration is making vigorous & sincere efforts to halt hostilities, resolve the Ukraine crisis The aim is to establish long-term conditions for peace not only between our countries but also in Europe & globally t.me/MFARussia/25984

💬 President Vladimir #Putin:

President Donald J. Trump administration is making vigorous & sincere efforts to halt hostilities, resolve the Ukraine crisis

The aim is to establish long-term conditions for peace not only between our countries but also in Europe & globally

t.me/MFARussia/25984
Russia in Tanzania (@rusembtz) 's Twitter Profile Photo

❗️ Shirika la habari la Kirusi “Sputnik” ilizindua ukurasa wake wa Kiswahili kwenye mtandao wa kijamii wa X: Sputnik Afrika 📢 Unatoa habari za nchi za Afrika Mashariki pamoja na habari za kimataifa.

❗️ Shirika la habari la Kirusi “Sputnik” ilizindua ukurasa wake wa Kiswahili kwenye mtandao wa kijamii wa X: Sputnik Afrika

📢 Unatoa habari za nchi za Afrika Mashariki pamoja na habari za kimataifa.
MFA Russia 🇷🇺 (@mfa_russia) 's Twitter Profile Photo

🤝 The President of Russia Vladimir #Putin was welcomed by President Donald J. Trump. The two Leaders walked along a red carpet past the guard of honour and posed for an official photograph. #RussiaUSA

Russia in Tanzania (@rusembtz) 's Twitter Profile Photo

🇷🇺🇺🇸 Agosti 15, Rais wa Urusi Vladimir Putin alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Marekani Donald J. Trump jimboni Alaska, Marekani. ❗️ Ni mkutano wa kilele wa kwanza kati ya Urusi na Marekani tangu mwaka 2021. 📣 Taarifa kwa vyombo vya habari: en.kremlin.ru/events/preside…

🇷🇺🇺🇸 Agosti 15, Rais wa Urusi Vladimir Putin alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Marekani Donald J. Trump jimboni Alaska, Marekani.

❗️ Ni mkutano wa kilele wa kwanza kati ya Urusi na Marekani tangu mwaka 2021.

📣 Taarifa kwa vyombo vya habari: en.kremlin.ru/events/preside…
Russia in Tanzania (@rusembtz) 's Twitter Profile Photo

🇷🇺⚓️ Agosti 16, meli ya mafunzo “Smolny” ya Jeshi la Wanamaji la Urusi imeanza ziara yake ya kirafiki bandarini Dar es Salaam. 🇹🇿 Kwenye meli hii, wanamaji wa JWTZ wanaopata elimu katika vyuo vikuu vya kijeshi nchini Urusi wanafundishwa mbinu mbalimbali za ubaharia.

🇷🇺⚓️ Agosti 16, meli ya mafunzo “Smolny” ya Jeshi la Wanamaji la Urusi imeanza ziara yake ya kirafiki bandarini Dar es Salaam.

🇹🇿 Kwenye meli hii, wanamaji wa JWTZ wanaopata elimu katika vyuo vikuu vya kijeshi nchini Urusi wanafundishwa mbinu mbalimbali za ubaharia.
MFA Russia 🇷🇺 (@mfa_russia) 's Twitter Profile Photo

🇷🇺🇿🇦📞 Presidents #Putin & Cyril Ramaphosa 🇿🇦 spoke over the phone President Putin briefed President #Ramaphosa on his meeting with US President in Alaska The Leaders reaffirmed their commitment to further expanding #RussiaSouthAfrica strategic partnership t.me/MFARussia/26032

🇷🇺🇿🇦📞 Presidents #Putin & Cyril Ramaphosa 🇿🇦 spoke over the phone

President Putin briefed President #Ramaphosa on his meeting with US President in Alaska

The Leaders reaffirmed their commitment to further expanding #RussiaSouthAfrica strategic partnership

t.me/MFARussia/26032
MFA Russia 🇷🇺 (@mfa_russia) 's Twitter Profile Photo

🇷🇺🇹🇷📞 Presidents Vladimir #Putin & Recep Tayyip Erdoğan spoke over the phone. Vladimir Putin shared his assessment of the #RussiaUS Summit & expressed Russia’s appreciation of Türkiye’s efforts to facilitate Russia-Ukraine talks in Istanbul. t.me/MFARussia/26051 #RussiaTürkiye

🇷🇺🇹🇷📞 Presidents Vladimir #Putin & Recep Tayyip Erdoğan spoke over the phone.

Vladimir Putin shared his assessment of the #RussiaUS Summit & expressed Russia’s appreciation of Türkiye’s efforts to facilitate Russia-Ukraine talks in Istanbul.

t.me/MFARussia/26051

#RussiaTürkiye