#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile
#NIPENI_MAUA_YANGU💐

@roma_mkatoliki

Rapper/Songwriter/Activist🎤

ID: 586580157

linkhttps://youtube.com/@vivaroma?si=MBso8JdbTzK0lrho calendar_today21-05-2012 12:19:43

20,20K Tweet

1,3M Takipçi

158 Takip Edilen

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Yo’ John Johmakini I thought tumekua watu wazima sasa, Ivan anaingia form 1, King ana miaka 10 now! Naona umeshindwa ku-move on? Come on….move on chalii!! Unataka turudi tulipotoka? IAM READY!! Though now nime-focus sana na mambo ya siasa na kuwasemea wananchi

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Hatukatai wewe kuwa CCM, ni haki yako kuwa chama chochote unachotaka. Tunachokataa ni wewe kuunga mkono huo upande ambao hausimamii haki za binadamu, upande unaoiba rasilimali na kodi za wananchi kwa maslahi yao. Tunakataa wewe ku-support upande unaopuuza na kudhihaki vifo vya

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Katika taifa letu hivi sasa kuna watu ambao wamejipa leseni ya kuua. Lakini sasa hatujapata watu ambao wako tayari kufa. Siku walio tayari kufa wakipatikana, kama waliotayari kuua walivyo. Taifa hili litapata tabu sanaaaa!! BAGO Kwenye 1&2

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Hawa Macommenter wa braza Mwami, kuna namna wanakosea padogo sana!! Kwanza wana comment kwa wingi sanaaa aaf kwa wakati mmoja😁 wangekuwa wanapeana hata shift, wengine wachape asubuhi wengine jioni, wapeane gap! Then wanaharibu zaidi wanacomment the same sentence wote😁

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Mnatumia BEAT yangu kwenye mikutano yenu ya kampeni bila Idhini yangu!! HILO NI KOSA KISHERIA!! (Copyright) NAHITAJI KULIPWA STAHIKI ZANGU TAFADHALINI SANA!! Na hii sio mara ya kwanza, ni mara nyingi nimekuwa nikiona mnaitumia hiyo BEAT Yangu kwenye mikutano ya chama chenu!!

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Maswali mawili mtekaji anapaswa kujiuliza 1. Wanaowateka na kuwaua, je inafanya kuwa-silence wengine wanaobaki? NO, kila siku ndio kwanza wanaongezeka tena wanazidi kuwa wengi kuliko mwanzo! 2. Wanaowateka na kuwatesa wakirudi mtaani je inawafanya kukaa kimya na kuacha

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Kwenye hizo kampeni zao kuna sehemu yoyote wameongelea kuhusu watu kutekwa? Watu kupotea? Watu kuteswa na kuuliwa? Na nini wamefanya so far kuzuia hayo matukio yasiendelee? Sasa unaendaje kushiriki uchaguzi na kwenda kuwapa kura watu ambao UHAI wa ndugu zetu sio vipaumbele

Kwenye hizo kampeni zao kuna sehemu yoyote wameongelea kuhusu watu kutekwa? 
Watu kupotea? Watu kuteswa na kuuliwa?

Na nini wamefanya so far kuzuia hayo matukio yasiendelee?

Sasa unaendaje kushiriki uchaguzi na kwenda kuwapa kura watu ambao UHAI wa ndugu zetu sio vipaumbele
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Niliwahi kuwaambia wasanii wenzangu hapo zamani. Upinzani unapokuwepo, inawasaidia hata wao (Kibiashara) Kwa maana watawala wataweka nguvu kubwa kushindana na wapinzani!! Technically watawala watamwaga pesa nyingi. Kama ilivyotokea 2015, upinzani ulikuwa mkali sana ndomana

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Hivi umegundua kuwa sasahivi muamko wa wakinadada (Wasichana/Wanawake) Ni mkubwa sanaaaaa, kuhusiana na yanayoendelea kwenye siasa zetu. Kukemea madudu ya watawala,kupaza sauti kudai haki, kupigania mageuzi na mabadiliko, wanawake wamekuwa kwa front line mno! Sina hakika sana

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Nakutanaga sana na hii comment, mtu ananiambia Mkato wewe hueleweki, Magu ulimkataa, huyu naye mama unamkataa, hueleweki unataka nini!!🤷🏿 Sasa sijui mimi na yeye nani haeleweki hapa?😁 Kukataa kila ajaye ndani ya mfumo huohuo ni kutoeleweka? Ndio tuliwakataa wote na

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Kwenye struggle ya wananchi kuyapigania mageuzi na mabadiliko kutoka kwa mtawala, kuna mtu wa kati ndio anakwamisha kwa kiasi kikubwa mapambano haya…..Naye ni “VYOMBO VYA DOLA” Askari wetu!! Je, ni njia ipi kati ya hizi mbili inaweza kuwa strategy bora na rahisi kwa raia

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Kuna hii propaganda inaongelewa sana!! Utasikia wanasema 🗣️ “WENGI WANAOSHAWISHI MAANDAMANO WAKO NJE YA NCHI HAWAKO HAPA” Huu ni uwongo…uwongo…uwongo Kuna watanzania Milioni 70. Nitajie watanzania hata 10 tu au 5 walioko nje ya nchi wanaoshawishi maandamano!! Sasa

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Huu mwezi utakuwa na mambo na matukio mengi sanaaaaa!! The Marathon Is Just Beginning 🏃 🏃‍♀️ Inshallah Mungu Akatimize Hitaji La Tulio Wengi!! 👊🏆💪 Tuseme Ameen!!

Huu mwezi utakuwa na mambo na matukio mengi sanaaaaa!! 

The Marathon Is Just Beginning 🏃 🏃‍♀️ 

Inshallah Mungu Akatimize Hitaji La Tulio Wengi!! 👊🏆💪

Tuseme Ameen!!