CPB.Rogers Masahi (@rogersmasahi) 's Twitter Profile
CPB.Rogers Masahi

@rogersmasahi

Manager|Banker|Finance|Certified Professional Banker CPB(T).

ID: 1354193527304028160

calendar_today26-01-2021 22:25:00

226,226K Tweet

8,8K Followers

2,2K Following

Hancy Machemba (@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 23/9 kwa kalenda yetu inasema ni siku ya AMANI duniani ni SAWA tarehe 23/9 kwa kalenda yetu ni siku ya maandamano ya AMANI ni SAWA Kwani shida ipo wapi ikiwa wote wazingatia neno AMANI?

Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

MAONI YA EDO KUMWEMBE. Uchambuzi wa Edo Kumwembe baada ya kutoka kushuhudia mtanange wa Yanga dhidi ya CBE ya Ethiopia na Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 6-0. #kitengeSports

Dr...kamami💔🇵🇭 (@fayet_kamami) 's Twitter Profile Photo

Na Mungu atusaidie kuelewa na kuishi katika mapenzi yake,,tunatamani vingi lakini yeye ametupangia vingi zaidi🙏 Imawe jumapili njema kwenu😇

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Hii picha haijatengenezwa bali hili ni tukio la kweli lililotokea usiku wa kuamkia leo kwenye pambano la Heavyweight ambao Anthony Joshua mwenye uzito wa 114Kg alipigwa kwa KO na Daniel Dubois mwenye uzito wa 113Kg. Wengi walishangazwa na namna Joshua alivyopoteza pambano hilo.

Hii picha haijatengenezwa bali hili ni tukio la kweli lililotokea usiku wa kuamkia leo kwenye pambano la Heavyweight ambao Anthony Joshua mwenye uzito wa 114Kg alipigwa kwa KO na Daniel Dubois mwenye uzito wa 113Kg. Wengi walishangazwa na namna Joshua alivyopoteza pambano hilo.
Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Kwahiyo Antony Joshua kakubali vinu vya Dubois😀 angebeba IBF alikuwa anaingia kwenye rekodi ya wakina MO Alli na Evander.

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Kuna muda binti yangu anauliza maswali magumu au kuongea vitu vizito mpaka naanza kuhisi pengine tunaishi na mtu mzima mwenzetu 🙌

Fumbo Khan (@fumbokhanjr) 's Twitter Profile Photo

Simba leo anashinda Goal 4 Ateba anafunga Goal 2 Mutale anafunga Goal 1 Balua anafunga Goal la faulo 1 Yasipo timia haya mniite NANDY.🤝

Moyo wa TAIFA ™️ (@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Gaddafi ameifanyia mengi mazuri Afrika.....hakuna mtu asiyejua mchango wake kwa Tanzania na Afrika. Wapenda maendeleo tutaendelea kusapoti kila kinachohusiana na Gaddafi.

Gaddafi ameifanyia mengi mazuri Afrika.....hakuna mtu asiyejua mchango wake kwa Tanzania na Afrika.

Wapenda maendeleo tutaendelea kusapoti kila kinachohusiana na Gaddafi.
Fumbo Khan (@fumbokhanjr) 's Twitter Profile Photo

Hakuna kukuta tamaa Simba win Arsenal win Barcelona win Azam fc win Atletical Madrid win Hapa weka mke na Watoto Huu Mkeka lazima Utiki.