Rommy
@robertmziwanda
IT, Graphic Designer. I never Loose, I either Win or Learn
ID: 912257843188977664
25-09-2017 10:09:53
2,2K Tweet
201 Followers
263 Following
Study abroad with TASSAA STUDY ABROAD Please follow our new account Ile ya kwanza imekuwa suspended Na wasamaria wema Follow TASSAA STUDY ABROAD Follow TASSAA STUDY ABROAD
Leo ndio ile siku ndugu yangu Trust The Process asiruhusiwe kushika simu mpaka mechi iishe. π
Msiwe watu wa kupuuzia hisia zenu sometimes zina maana kubwa. Baada ya kuona video ya Sativa akihojiwa na kudai alikuwa Oysterbay nikakumbuka Jumatatu nilipelekwa na gari ya millardayo Oysterbay nikakutana na Brother Patrick baada ya kupata majibu yasiyo na matumaini
Ni mtu na nusu MIRIAMπ hua hapendi show off na ana mapenzi na kila mtu hata siku tumepiga hizi picha May 2023 alinambia Rahma usipost bhana. Hongera sana Role Model me najua hujafanya kwa Sativa tuu hata angekua kijana mwingine ungepaza sauti kwa sababu una UTU.ππΎ
UNITED! UNITED! UNITED! π£οΈ π€³ Snapdragon #MUFC || #ShotOnSnapdragon