Elshabazz (@riqsollozzo) 's Twitter Profile
Elshabazz

@riqsollozzo

I am extraordinarily patient, provided I get my own way in the end..Patriotic, A free spirit & a true believer in Allah..#TeamUnited

ID: 111408592

calendar_today04-02-2010 20:42:44

874 Tweet

625 Takipçi

72 Takip Edilen

Elshabazz (@riqsollozzo) 's Twitter Profile Photo

Tito Magoti - 17M katupiwa uhujumu uchumi.. Kangi Lugola 1.3 Trillion, Bado ana dunda mtaani.. Ukisikia Taifa la kiini macho ndio hili

Dr Reginald Mengi (@regmengi) 's Twitter Profile Photo

To be a winner you need to associate with inspiring people who challenge you to go higher and higher and not anyone who pulls you down

Masanja (@mkandamizaji) 's Twitter Profile Photo

Usitafute furaha katika watu/vitu. Watu hukugeuka/hufa na vitu huharibika/kuisha. Tafuta furaha katika nafsi yako na tenda wema bila malipo.

Elshabazz (@riqsollozzo) 's Twitter Profile Photo

I have learnt that the will of the people must be respected .. I long to see the day my country will attain this level of democracy ..

Elshabazz (@riqsollozzo) 's Twitter Profile Photo

Elimu duni, kina mama wanatembea umbali mkubwa kusaka maji, kuna wananchi hawana uhakika wa mlo moja; lakini sheesha ndio tumeona tatizo 😭

Elshabazz (@riqsollozzo) 's Twitter Profile Photo

Sifa ya kuwa MbungeTZ ni kujuwa kusoma & kuandika,ila sifa ya kuwa dereva wa serikali TZ ni leseni ya udereva & elimu japo ya kidato cha 4.

Elshabazz (@riqsollozzo) 's Twitter Profile Photo

⚠ ONYO Mtz yyte atakayekutwa anataka kujiua lazma aokolewe na ashtakiwe. Maana wote tuko kwenye huu mdororo wa uchumi,hakuna mtu kutoroka!😂😂