Richy De_millz
@richymilz
ID: 911196910463184897
22-09-2017 11:54:07
115 Tweet
37 Followers
117 Following
Una picha zilizoharibiwa na umri, maji, mafuta au chochote? Njoo tuzitengeneze tena. 1. Scan au weka mezani kisha piga picha. 2. Tuma kwenda 0735045525 au [email protected] 3. Bei ni kuanzia 10,000 Tshs kulingana na uharibifu. Njoo tutunze kumbukumbu. #TwitterGulio
Wakuu streetsoul kupata hii package nahitaji RT ngapi? Maana kitu cha draft na hii kiatu ya gidamu kwa mwanadiplomasia kama mimi ni muhimu mno.
Okay, hii tweet sio ya 'KISIASA' kabisa na hii game ndio naicheza mara ya kwanza kabisa, fanyeni kakitu masela mwana nipendeze. streetsoul wanataka RETWEET 500 tu nibebe package hiyo. Kumbuka kuwafollo, u never know siku yako. Comrades must look and smell good!!