Egibert Rubery ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@rexruberyjr1) 's Twitter Profile
Egibert Rubery ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@rexruberyjr1

Soil scientist and Agronomist |Farmer|politician|True ideologist, servant and academia
#Tanzania,kwanza

ID: 1551704847585607680

calendar_today25-07-2022 23:04:27

43 Tweet

218 Takipรงi

429 Takip Edilen

Egibert Rubery ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@rexruberyjr1) 's Twitter Profile Photo

Mageuzi makubwa kwenye sekta ya elimu yamechagizwa sana na utendaji uliotukuka wa mhe Rais chini ya serikali ya awamu ya sita ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœ…โœ… Mama kazini

Mageuzi makubwa kwenye sekta ya elimu yamechagizwa sana na utendaji uliotukuka wa mhe Rais chini ya serikali ya awamu ya sita ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœ…โœ… 
Mama kazini
Egibert Rubery ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@rexruberyjr1) 's Twitter Profile Photo

Kesho yetu ni Siri kubwa. | Tuishi Kwa kumtegemea Muumba wetu anaejua kesho yetu. Heshimu kila mtu | Usikate tamaaa | Usiache kusali | Ishi vizuri na watu.

Egibert Rubery ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@rexruberyjr1) 's Twitter Profile Photo

Ni ishara ya furaha na bashasha kuungana na mkuu wa chuo Cha kilimo sokoine university of agriculture kumpatia katibu mkuu wa chama Cha mapinduzi Tanzania ndugu, Daniel Chongolo . Ikiwa ni sehemu ya kumkaribisha na kumkarimu kwenye mazingira ya chuo chetu. Karibu sana SUA โœ๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Ni ishara ya furaha na bashasha kuungana na mkuu wa chuo Cha kilimo sokoine university of agriculture kumpatia  katibu mkuu wa chama Cha mapinduzi Tanzania ndugu, Daniel Chongolo .
Ikiwa ni sehemu ya kumkaribisha na kumkarimu kwenye mazingira ya chuo chetu.
Karibu sana SUA โœ๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Egibert Rubery ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@rexruberyjr1) 's Twitter Profile Photo

Ziara ya kutembelea miradi iliyotekelezwa na mhe.rais TAHLISO madam Maria J Thomas Kipind akiwa rais wa chuo kikuu Cha Jordan Morogoro ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

Ziara ya kutembelea miradi iliyotekelezwa na mhe.rais TAHLISO madam Maria J Thomas 
Kipind akiwa rais wa chuo kikuu Cha Jordan Morogoro ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
Egibert Rubery ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@rexruberyjr1) 's Twitter Profile Photo

Natambua sana mchango wa Tawi mama katika kunijenga na kunilea kisiasa nami nahaidi Kuwa mtiifu, na mwaminifu katika utumishi wangu . Enheee Mungu nisimamie Kidumu chama Cha mapinduzi โœ… #rexruberyjr

Natambua sana mchango wa Tawi mama katika kunijenga na kunilea kisiasa  nami nahaidi Kuwa mtiifu, na mwaminifu katika utumishi wangu . 
Enheee Mungu nisimamie
Kidumu chama Cha mapinduzi โœ…
#rexruberyjr