Renish Matano (@renish_matano) 's Twitter Profile
Renish Matano

@renish_matano

Mwanauchumi, mpenzi wa lugha ya kiswahili, malenga wa maghofuni.

ID: 1497475587501346818

calendar_today26-02-2022 07:38:58

642 Tweet

1,1K Takipçi

904 Takip Edilen

Paul Amemba Magufuli (@pamembamagufuli) 's Twitter Profile Photo

You guys are not good people you have left Ndiangui Kinyagia to suffer alone, no one is calling for his release. His family is scared and worried about his whereabouts, please retweet this so that he can get help.

ENUKA (@inuakijanafrika) 's Twitter Profile Photo

Sherehekea siku ya Kiswahili Duniani nasi! Lugha yetu adhimu inaunganisha tamaduni na kuleta watu pamoja. Heri ya Siku ya Kiswahili Duniani! Kipindi kipya kitakuja hivi karibuni. Shairi : Usawa wa Binadamu Mshairi; Julius K. Nyerere  #SikuYaKiswahiliduniani

Renish Matano (@renish_matano) 's Twitter Profile Photo

Leo tunatagusana na gwiji ambaye ni mwalimu, mwanahabari na afisa wa mawasiliano Open University of Kenya. x.com/i/spaces/1OyJA…

Renish Matano (@renish_matano) 's Twitter Profile Photo

Mtoto kulawitiwa na wanaume watano ni kitendo kinachoonyesha uozo mkubwa ulioko katika jamii. Serikali sasa itumie njia mbadala maadam kutiwa mbaroni tu, hakusaidii!

Renish Matano (@renish_matano) 's Twitter Profile Photo

Ametuaga nguli, aliyepanda bengu za demokrasia. Mwanafalsafa na mwanamajumui mkuu Afrika na kote duniani. Kifo chake kimezua hisia mseto. Ila ningependa niseme hivi, tusitiriane katika kifo. Huu ni wakati wa msiba, tulitaje jina lake kwa heshima anazostahiki. Makiwa!