Rebecca Stanley Andabwa (@rebeccastanleya) 's Twitter Profile
Rebecca Stanley Andabwa

@rebeccastanleya

Behavior Change Communication Specialist

ID: 231779212

calendar_today29-12-2010 12:55:22

1,1K Tweet

408 Takipçi

655 Takip Edilen

WaterAid Tanzania  (@wateraidtz) 's Twitter Profile Photo

Kote ulimwenguni ifikapo tarehe 22 Machi kila mwaka, tunaadhimisha siku ya maji duniani. Kila mwaka hubeba kauli mbiu tofauti na mwaka huu ni “Maji yaliyoko chini ya ardhi: kufanya yasiyoonekana, kuonekana” #ElimikaWikiendi

WaterAid Tanzania  (@wateraidtz) 's Twitter Profile Photo

Tangu mwaka 1983, Shirika la WaterAid Tanzania limeazimia kufanya maji safi, vyoo bora na usafi wa mazingira kuwa jambo la kawaida kwa kila mtu, kila mahali ulimwenguni kote. Tunaamini kuwa mambo haya matatu yanaleta utu kwa mtu #ElimikaWikiendi

WaterAid Tanzania  (@wateraidtz) 's Twitter Profile Photo

Tangu mwaka 1983 tumefanikiwa kufikia watu 1,853,866 na huduma za maji safi na salama, tunajivunia, japo safari bado ni pevu ili kuweza kufikia kila mtu kila mahali kwa huduma za maji safi na salama ifikapo mwaka 2030 #ElimikaWikiendi

Unaweza kujiuliza, tunafanyaje ili maji ya chini ya ardhi yasiyoonekana, yakaweza kuonekana kwa kutumia teknolojia na uvumbuzi? Endelea kuwa nasi kupitia #elimikawikiendi tukupe mifano hai ya miradi tuliyoifanya

WaterAid Tanzania  (@wateraidtz) 's Twitter Profile Photo

Kwa kutumia teknolojia ya Reverse Osmosis ili kuchuja Floridi kutoka kwenye maji ya chini ya ardhi, kuyafanya kuwa safi na salama kwa ubunifu WaterAid Tanzania imefanikiwa kuokoa watu 30,000 kwenye hatari ya kupata magonjwa ya meno na mifupa yatokanayo na floridi #ElimikaWikiendi

Kwa kupitia mfumo wa kibunifu wa malipo ya awali katika huduma za maji ulioko katika kijiji cha Sangara - Babati tumewezesha jamii kupata maji kwa urahisi zaidi. Wakazi wa Sangara hawatumii muda mrefu kupata maji,na tumeweza kufikia shule 1 na kaya 358. #ElimikaWikiendi

Tunashirikiana serikali ya Tanzania kwa kutoa mafunzo ya kitaalamu na msaada kwa mamlaka za maji. Tunatumia uzoefu wetu kupeleka maji safi hadi maeneo ya mbali na kila kitu tunachojifunza wakati wa miradi yetukushawishi mabadiliko sera katika ngazi ya taifa. #ElimikaWikiendi

Tutaendelea kubuni masuluhisho mahiri ya vitendo ambayo yanashikamana na yanaweza kutumika hadi viwango vya kitaifa na kimataifa. Kati yetu, tunayo dhamira, uzoefu, ustadi wa kubadilisha maisha ya mamilioni kila mara tunapoadhimisha #WorldWaterDay #ElimikaWikiendi

WaterAid Tanzania  (@wateraidtz) 's Twitter Profile Photo

Asante kwa kushiriki nasi siku ya leo kupitia #ElimikaWikiendi, kujifunza zaidi tafadhali pitia maandiko yetu mbali mbali hapa wateraid.org/tz/publications na makala za wanufaika hapa wateraid.org/tz/stories-fro… Asanteni Sana/ Thank you

WaterAid Tanzania  (@wateraidtz) 's Twitter Profile Photo

We are working with partners to make sure that we reach everyone everywhere with WASH services by 2030, see the highlight of our journey in making that happen.... youtube.com/watch?v=UFB7w2…

Rebecca Stanley Andabwa (@rebeccastanleya) 's Twitter Profile Photo

Across the 🌍 some 800 million 👩🏻‍💼👩🏾‍🦱👱🏼‍♀️🧕🏾👩🏽‍🌾 are on their periods. Of these, around 500 million women and girls have no access to basic menstrual hygiene. Reminder: access to menstrual hygiene kits is a human right. Period🩸 #MenstrualHygieneDay

Health Promotion Tanzania (@hdt_tanzania) 's Twitter Profile Photo

WE'RE HIRING Health promotion Tanzania is looking to recruit Advocacy officer fir RNMCAH+N please follow the link bellow to Apply!. >>healthpromotiontanzania.org/were-hiring-ad…

WE'RE HIRING
Health promotion Tanzania is looking to recruit Advocacy officer fir RNMCAH+N
please follow the link bellow to Apply!.

>>healthpromotiontanzania.org/were-hiring-ad…
H2O Securities (@h2o_coin) 's Twitter Profile Photo

Introducing our water heroes of the week WaterAid Tanzania WaterAid Tanzania has been working to pilot new technologies, and financing schemes as a way to answer some of the sector challenges in rural water services. WaterAid Tanzania we salute you! #Water #H2ON #watercrisis

Introducing our water heroes of the week <a href="/WaterAidTZ/">WaterAid Tanzania </a> 

WaterAid Tanzania has been working to pilot new technologies, and financing schemes as a way to answer some of the sector challenges in rural water services.

 WaterAid Tanzania we salute you!

#Water  #H2ON  #watercrisis
WaterAid East Africa & Ethiopia (@wateraidea) 's Twitter Profile Photo

Dedo Mate-Kodjo, WaterAid's Pan Africa Programme Manager, speaks here on some of our aspirations for #COP27. 💧#Climatefinance for #WASH is key in helping communities adapt to #climatechange 💧Voices of women and girls must be reflected in the Nationally Determined Contributions

WaterAid Tanzania  (@wateraidtz) 's Twitter Profile Photo

🌐✨ 𝗣𝗿𝗶𝗼𝗿𝗶𝘁𝗶𝘇𝗲 𝘁𝗵𝗲 𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿 𝗼𝗳 𝗛𝗮𝗻𝗱𝘄𝗮𝘀𝗵𝗶𝗻𝗴! 🌟 in outbreaks, your superhero move is simple: 𝗛𝗔𝗡𝗗𝗪𝗔𝗦𝗛 at all critical moments. 🤲🚿 and whenever your hands feel "not so fresh" Let's be #HandwashingHeroes 💙 #CleanHandsSaveLives #StaySafe 🌐✨

🌐✨ 𝗣𝗿𝗶𝗼𝗿𝗶𝘁𝗶𝘇𝗲 𝘁𝗵𝗲 𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿 𝗼𝗳 𝗛𝗮𝗻𝗱𝘄𝗮𝘀𝗵𝗶𝗻𝗴! 
🌟 in outbreaks, your superhero move is simple: 𝗛𝗔𝗡𝗗𝗪𝗔𝗦𝗛 at all critical moments. 🤲🚿 and whenever your hands feel "not so fresh"
Let's be #HandwashingHeroes 💙 #CleanHandsSaveLives #StaySafe 🌐✨
WaterAid Tanzania  (@wateraidtz) 's Twitter Profile Photo

WaterAid Tanzania (WAT) and partners have launched a campaign to improve gender-responsive WASH services in healthcare facilities and schools across Tanzania. This initiative focuses on enhancing the well-being of women and girls. #AfyayaMwanamkeSasa #WASHinHCF

Day 1 of the THS 2024 is in the books! WaterAid Tanzania highlighted the critical role of WASH in healthcare facilities—WASH's essential for resilient systems and saving lives. Excited to keep the momentum going! Visit our booth to learn more. #THS2024 #WASHinHCFs

Day 1 of the <a href="/tanzaniahealth/">THS</a> 2024 is in the books! WaterAid Tanzania highlighted the critical role of WASH in healthcare facilities—WASH's essential for resilient systems and saving lives. Excited to keep the momentum going! Visit our booth to learn more. #THS2024  #WASHinHCFs
Farhan Yusuf (@faryus88) 's Twitter Profile Photo

O young person, as we enter #2025 think about that fact that it's probably a better approach to build meaningful relationships & mentorship interactions rather than looking for "connections" that you believe will serve as shortcuts to career success & act as job portals