@reagke
ID: 1705565076290187265
calendar_today23-09-2023 12:49:51
438 Tweet
511 Takipçi
510 Takip Edilen
a month ago
Being a Friday charger muhimu alaf msisahau kuvaa ile boxer ya bahati twende tuteke milayas club😂😂
Hakuna kitu inapea Simps pressure sai ka girlfriends day mrelax tutaoa tu wote 😂😂
😂😂imebidi nicomment na mrija
Now this is a typical Friday tl, pure greatness 😂
Ndio kuamka sasa Good morning Early Birds, Mlipata worms kweli😂
Unpopular methali:tawi na tawi hujaza taxin 😂😂leo naona nikisnif njugu kama coccaine
😂😂kuulizwa maswali ya ufala eti uko wapi mara unatoka wapi na ni on a fine weekend
Toxic na sewersyder wakae chini wajue vile wanatoa collabo can't wait for the combo😂😂🔥
Makosa unaeza fanya sai ni kukubali mimba na huna doo ya DNA 😂leave alone pesa ya kuraise mtoi😂😂🙌
21 days ago
Hakuna kitu risk kama comrade kupikiwa chapo maharagwe home nimemaliza kudish nikauliza mokoro eti naweka kwa till ama pochi😂😂
Pesa itajipa wazee, wacheni pressure!
As a man always know when to speak and when to listen there is a reason why you have two ears and one mouth
20 days ago
Comrade ni heri akule Chapo na Juice cola na anunulie Msupa wake Chocolate
😂napitia list ya supps napata couples wa daro wamefuatana Kingdom sĥenzi sana 😂😂🙌
19 days ago
Being a Friday nataka nikule hoi nyama ndo niingie shimo zote😂
Finally ngulusumu tumepata something ya kutukeep busy😂anyway msee atume link ya fpl hapa tuunde group
14 hours ago
Ile design unakaa 2 weeks sober ndo ukipiga madre zishike ka belt ya gachagua hukuwa underrated skill😂😂