Raphael Mheta (@raphaelmheta) 's Twitter Profile
Raphael Mheta

@raphaelmheta

ID: 915570079898783745

calendar_today04-10-2017 13:31:32

99,99K Tweet

34,34K Followers

12,12K Following

Raphael Mheta (@raphaelmheta) 's Twitter Profile Photo

Isaya 45:3 Nami nitakupa hazina za gizani, na mali zilizofichwa za mahali pa siri, upate kujua ya kuwa mimi ni Bwana, nikuitaye kwa jina lako, naam, Mungu wa Israeli.

SALT (@ankalidrew) 's Twitter Profile Photo

JE, UMEJENGA.?? . Okoa zaidi ya 30% ya gharama za ujenzi kwa kutumia Interlocking bricks FAIDA -Hazijengewi kwa kutumia udongo wala cement -Huna haja ya kupiga Plasta -Bei nafuu kulinganisha na Tofali za kawaida . Bei ni Tsh.700/= Dar, Mikoani ni Tsh.800/= . ๐Ÿ“žCall 0764-635014

Raphael Mheta (@raphaelmheta) 's Twitter Profile Photo

Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe. 1 Petro 3:7