DTGC:USZM (@rapcha_tz) 's Twitter Profile
DTGC:USZM

@rapcha_tz

The Last King Of 90’s. USZM/DTGC Mixtape in few days💿

ID: 3369932711

linkhttps://youtu.be/CLSQRDkGINc calendar_today10-07-2015 22:59:49

8,8K Tweet

23,23K Takipçi

165 Takip Edilen

Babu Bomba (@babubomba4) 's Twitter Profile Photo

Rapcha mbona kama kaja na hasira sana hizi back 2 back huko YouTube trading sio kawaida. Kanifanya niirudie Lissa ya kwanza ndiyo nirudi Lissa 2&3. Huwezi jutia kusikiliza pamoja na kuangalia pia . Link kwenye bio yake.

Babu Bomba (@babubomba4) 's Twitter Profile Photo

Kwenye kitabu cha majina ya wanadamu walio wayi kupenda naomba jina langu msiache kuliandika ubavu wa kushoto umedanganywa na nyoka kisa fashion umeniachia mtoto wa kike nimempa jina Eden . LISSA III 🙌🙌🙌🙌🙌

Mkaka Peace ❤️ (@__enil) 's Twitter Profile Photo

NIKO HAPA KUTHIBITISHA KUWA RAPCHA KWANGU NDIO MSANII BORA WA HIPHOP WA KIZAZI KIPYA BONGO THE WAY ANAANDIKA, THE WAY UNAMUELEWA UKIMSIKILIZA AKISIMULIA, THE WAY ANASIKIKA KILA NENO(HAKUACHI) LISSA ZOTE KALI, ILA HII LISSA NUMBER 3 KAUMIZA SANA🙌🏽🙌🏽🙌🏽 LISSA III

Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

"Lissa1"🎶 iliwagusa wengi sana kulingana na matukio ya kuchiti kwa vijana kuwa mengi... "Lissa2"🎶 ikatufanya tuamini mwana hawezi pona kutokana na kipigo kikali alichopatana nacho "Lissa3"🎶 imetushangaza na uwepo wa Mtoto plus kifo cha LISSA💔 Ipi kwako ni Episode bora? 👇🏽

"Lissa1"🎶 iliwagusa wengi sana kulingana na matukio ya kuchiti kwa vijana kuwa mengi...

"Lissa2"🎶 ikatufanya tuamini mwana hawezi pona kutokana na kipigo kikali alichopatana nacho 

"Lissa3"🎶 imetushangaza na uwepo wa Mtoto plus kifo cha LISSA💔

Ipi kwako ni Episode bora? 👇🏽
Charts Tanzania 🇹🇿 (@charts_tanzania) 's Twitter Profile Photo

TOP SONGS TRENDING ON YOUTUBE TANZANIA 1. Msumari - Diamond Platnumz 2. ⁠Kidedea - Harmonize 3. ⁠Sweety - Nandy 4. ⁠Lissa 3 - Rapcha 5. ⁠Inama - Zuchu 6. ⁠Ankali - Jay Melody 7. ⁠Lissa 2 - Rapcha 8. ⁠Shemeji - Xouh 9. ⁠Bei Chee! - Ibraah 10. ⁠Wakati - Rehema Simfukwe

Ole MaesTro 💪 (@francistarakwa) 's Twitter Profile Photo

Kwenye Kitabu cha Majina ya Wanadamu waliowahi kupenda Jina langu naomba msiache kuandika.. Ubavu wa kushoto umedanganywa na Nyoka kisa Fashion Ukaniachia Mtoto wa kike nimempa Jina Eden.. 🎼 Rapcha-Lisaa III. Cc: LISSA III

straight ∆ce (@acejoe_) 's Twitter Profile Photo

lissa , lissa 2 and lissa 3 are the most scary songs that I've heard 😱😭😂 all by the one and only LISSA III pure art 🎨🔥🙌🏾