بو سالم 🇹🇿 (@rahim_meghji) 's Twitter Profile
بو سالم 🇹🇿

@rahim_meghji

بسم الله الرحمن الرحیم اللهم صل وسلم على نبينا محمد ﷺ. |Man United

ID: 968246737461751809

calendar_today26-02-2018 22:09:46

169,169K Tweet

13,13K Takipçi

6,6K Takip Edilen

RASHIDI ADINANI (@rasheed_atm) 's Twitter Profile Photo

Kuna hii misemo sie Watoto wa 90s tumekuwa nayo: "Damu ya Mtu haiendi bure" "Za mwizi ni arobaini" Allāh amejalia hivyo malipo ni kwa jinsi wewe unafanya na yanaanzia hapa hapa.

Nawawi (@imaamnawawi) 's Twitter Profile Photo

“Kati ya watu wa elimu, kuna mwelekeo wa kiash'ari ulioko kwa Ibn Hajar na wengineo. As-Sa‘diy ameuandika wazi katika kurasa chache alizoandika. Wasalafiy duniani wanajua yaliyomo kwa Ibn Hajar katika kitabu chake Fath al-Bari, ambayo yanapingana na manhaj ya kisalafi. Ibn Hajar

تلاوة من القرآن الكريم (@holyquraan01) 's Twitter Profile Photo

#تلاوة صفحة من #القرآن_الكريم من سورة القصص - الآية ٨٥ إلى سورة العنكبوت - الآية ٦ بصوت القارئ ماهر المعيقلي

بو سالم 🇹🇿 (@rahim_meghji) 's Twitter Profile Photo

Ndugu yangu alipomaliza darsa pale markaz Jangwani kaja home kanipima anaenda kunitolea vitu adhim saafi kabisa 😁😁, so hawa tunaogombana nao humu ni kina nani? 😅

Ndugu yangu alipomaliza darsa pale markaz Jangwani kaja home kanipima anaenda kunitolea vitu adhim saafi kabisa 😁😁, so hawa tunaogombana nao humu ni kina nani? 😅