Radio Ashe
@radio_ashe
Radio Ashe is a Christian station broadcasting from Maralal, Samburu County that seeks to transform communities into Christ likeness, through Biblical Teaching
ID: 1271800827431333889
http://www.radioashe.org 13-06-2020 13:45:39
42,42K Tweet
964 Followers
145 Following
MIC-CHECK 1-2 Hellooo!!!. Ukoje, mpendwa wa Mungu? Karibu ndani ya #ShehenaLaBaraka na Jonathan Tinga Nyaejr7. Unategea ukiwa wapi? Kamata position tusonge pamoja. Call:0712 00 00 14 Sms:0712 04 00 10 X/IG:Radio Ashe Listen Live:radioashe.org or use APP: Radio garden
MJADALA: MCHUNGAJI MMOJA AMEKAMATWA KULE MERU KWA MADAI YA KUFUNZA ITIKADI KALI, KUWANAJISI WANAWAKE NA WASICHANA NA DHULMA ZA KINGONO. HISIA ZAKO NI ZIPI KUHUSU KISA HIKI NA KIPI KIFANYWE ILI KUZUIA VISA KAMA HIVI? Radio Ashe Emmanuel Matano
#Mjadala Thomas(Baringo) Huyo si mchungaji ni mbwamwitu aliyejivika ngozi ya kondoo. Anafaa kuchukuliwa hatua za kisheria Emmanuel Matano Radio Ashe #AsheBreakfast
#Mjadala Kinoti(Samburu) Mimi nalaumu washirika wa kanisa hilo. Tumeambiwa kuwa watu wanaangamia kwa kukosa maarifa Emmanuel Matano Radio Ashe #AsheBreakfast
#Mjadala Baba Gaile(Marsabit) Haki itendeke na huyo mchungaji achukuliwe hatua kali za kisheria Emmanuel Matano Radio Ashe #AsheBreakfast
#Mjadala Maggy(Samburu) Waumini wanatakiwa kufungua macho na kuomba Mungu atupe ufunuo wa wachungaji wa kweli na waongo Emmanuel Matano Radio Ashe #AsheBreakfast
#Mjadala Dj Kelvin(Laikipia) Ukifanya urafiki na biblia hauwezi kuingia kwenye mitego ya wachungaji walaghai Emmanuel Matano Radio Ashe #AsheBreakfast
MIC-CHECK 1-2 Hellooo!!!. Ukoje, mpendwa wa Mungu? Karibu ndani ya #ShehenaLaBaraka na Jonathan Tinga Nyaejr7. Unategea ukiwa wapi? Kamata position tusonge pamoja. Call:0712 00 00 14 Sms:0712 04 00 10 X/IG:Radio Ashe Listen Live:radioashe.org or use APP: Radio garden
Siku Yako Imekuwa Vipi? Karibu Tubarikiwe Na Kuliabudu Jina Lake Yesu Kirsto Ndani #ChemichemiYaUzima Ukiwa Nami Daniel leleina Sema Nami Kupitia:Call:0712 00 00 14 Sms:0712 04 00 10 X/IG:Radio Ashe Listen Live:radioashe.org or use APP: Radio Garden.