pwanifm (@pwanifm) 's Twitter Profile
pwanifm

@pwanifm

Established in 2001.The # 1 station in Kenyan Coast playing latest hits with unique shows that have a Coastal touch.

ID: 374476069

calendar_today16-09-2011 11:34:45

42,42K Tweet

5,5K Followers

435 Following

pwanifm (@pwanifm) 's Twitter Profile Photo

Constable Masinde Barasa amekana mashtaka ya mauaji ya mchuuzi wa barakoa Boniface Kariuki Mwangi mnamo Juni 17. #KurunziYaPwani ^RZ

Constable Masinde Barasa amekana mashtaka ya mauaji ya mchuuzi wa barakoa Boniface Kariuki Mwangi mnamo Juni 17.
#KurunziYaPwani ^RZ
pwanifm (@pwanifm) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya kaunti ya Kwale Fatuma imepokea msaada wa vitanda 30 vya kisasa vya kulalia, viti 11 vya magurudumu, na visaidizi 5 vya kutembea kutoka kwa Shirika la Kijamii la ANNICK FOR KENYA (CBO) katika Hospitali ya Kaunti Ndogo ya Kwale, eneo bunge la Matuga #KurunziYaPwani ^RZ

Serikali ya kaunti ya Kwale Fatuma imepokea msaada wa vitanda 30 vya kisasa vya kulalia, viti 11 vya magurudumu, na visaidizi 5 vya kutembea kutoka kwa Shirika la Kijamii la ANNICK FOR KENYA (CBO) katika Hospitali ya Kaunti Ndogo ya Kwale, eneo bunge la Matuga
#KurunziYaPwani ^RZ
pwanifm (@pwanifm) 's Twitter Profile Photo

Gavana wa Kwale Fatuma Achani amewahimiza wakaazi kujiunga katika makundi na kuyasajili kama kampuni ili wanufaike na zabuni kutoka kwa serikali ya kaunti hiyo. #KurunziYaPwani ^RZ

Gavana wa Kwale Fatuma Achani amewahimiza wakaazi kujiunga katika makundi na kuyasajili kama kampuni ili wanufaike na zabuni kutoka kwa serikali ya kaunti hiyo.
#KurunziYaPwani ^RZ
pwanifm (@pwanifm) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Huduma za Jamii na Ukuzaji Talanta wa Kwale Fransisca Kilonzo amesema zaidi ya kampuni 300 zimeundwa huku zaidi ya 100 zikiwa zimepata kandarasi na serikali ya Kaunti ya Kwale. #KurunziYaPwani ^RZ

Waziri wa Huduma za Jamii na Ukuzaji Talanta wa Kwale Fransisca Kilonzo amesema zaidi ya kampuni 300 zimeundwa huku zaidi ya 100 zikiwa zimepata kandarasi na serikali ya Kaunti ya Kwale.
#KurunziYaPwani ^RZ
pwanifm (@pwanifm) 's Twitter Profile Photo

Gavana wa Kwale Fatuma Achani amesema njia pekee ya kupunguza viwango vya umaskini ni kuwajenga uwezo vijana na kina mama. #KurunziYaPwani ^RZ

Gavana wa Kwale Fatuma Achani amesema njia pekee ya kupunguza viwango vya umaskini ni kuwajenga uwezo vijana na kina mama.
#KurunziYaPwani ^RZ
pwanifm (@pwanifm) 's Twitter Profile Photo

WAMETUROGA? Kiungo wa Harambee Stars, Mohammed Ali Bajaber amejiunga na vigogo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania, Simba SC. Bajaber hatashiriki michuano ya CHAN 2024 pamoja na Stars. #CHAN2024 #PwaniMwanaspoti ^RZ

WAMETUROGA?
Kiungo wa Harambee Stars, Mohammed Ali Bajaber amejiunga na vigogo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania, Simba SC.

Bajaber hatashiriki michuano ya CHAN 2024 pamoja na Stars.

#CHAN2024
#PwaniMwanaspoti ^RZ
pwanifm (@pwanifm) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya kaunti ya Kwale Fatuma imepokea msaada wa vitanda 30 vya kisasa, viti 11 vya magurudumu, na visaidizi 5 vya kutembea kutoka kwa Shirika la Kijamii la ANNICK FOR KENYA. #KurunziYaPwani ^RZ

pwanifm (@pwanifm) 's Twitter Profile Photo

Pep Guardiola atachukua muda mbali na mchezo mara tu mkataba wake wa Man City utakapomalizika 2027. #PwaniMwanaspoti ^RZ

Pep Guardiola atachukua muda mbali na mchezo mara tu mkataba wake wa Man City utakapomalizika 2027.
#PwaniMwanaspoti ^RZ
pwanifm (@pwanifm) 's Twitter Profile Photo

Mvuvi Hudhefa Laly aliyepotea baharini huko Watamu akiwa na ndugu yake Athman Laly amepatikana eneo la Shakiko -Mathole, Tana River akiwa amefariki. #KurunziYaPwani ^RZ

Mvuvi  Hudhefa Laly aliyepotea baharini huko Watamu akiwa na ndugu yake Athman Laly amepatikana eneo la Shakiko -Mathole, Tana River akiwa amefariki. 
#KurunziYaPwani ^RZ
pwanifm (@pwanifm) 's Twitter Profile Photo

Mmoja wa ndugu wawili waliopotea baharini huko Watamu kwa jina Athman Laly amepatikana eneo la Shakiko ~ Mathole, Tana River akiwa amefariki. #KurunziYaPwani^RZ

Mmoja wa ndugu wawili waliopotea baharini huko Watamu kwa jina Athman Laly amepatikana eneo la Shakiko ~ Mathole, Tana River akiwa amefariki.
#KurunziYaPwani^RZ
pwanifm (@pwanifm) 's Twitter Profile Photo

Je, Wajua? Michuano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) ni mashindano ya kandanda yanayofanyika kila baada ya miaka miwili yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) tangu 2009 yakijumuisha wachezaji kutoka mashindano ya ligi za ndani. #CHAN2024 #CHANIKOKBC ^RZ

Je, Wajua?

Michuano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) ni mashindano ya kandanda yanayofanyika kila baada ya miaka miwili yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) tangu 2009 yakijumuisha wachezaji kutoka mashindano ya ligi za ndani.
#CHAN2024 
#CHANIKOKBC ^RZ
pwanifm (@pwanifm) 's Twitter Profile Photo

KRG The Don awaomba Wakenya kuunga mkono muziki wa Otile Brown, asema anaonekana amepotea na anaweka bifu kwa kila mtu ili apate umaarufu. #CodesZaKitaa^RZ

KRG The Don awaomba Wakenya kuunga mkono muziki wa Otile Brown, asema anaonekana amepotea na anaweka bifu kwa kila mtu ili apate umaarufu.
#CodesZaKitaa^RZ
pwanifm (@pwanifm) 's Twitter Profile Photo

WIVU WAMPONZA OTILE Otile Brown amemzungumzia Bien kwa umakini akibainisha kwamba itachukua hatua moja tu mbaya kwa Bien 'kuanguka' na hatua moja pekee kubwa kutoka kwake kufurahia umaarufu ambao Bien anafurahia kwa sasa kutoka kwa Wakenya. #CHANikoKBC #CodesZaKitaa^RZ

WIVU WAMPONZA OTILE
Otile Brown amemzungumzia Bien kwa umakini akibainisha kwamba itachukua hatua moja tu mbaya kwa Bien 'kuanguka' na hatua moja pekee kubwa kutoka kwake kufurahia umaarufu ambao Bien anafurahia kwa sasa kutoka kwa Wakenya.
#CHANikoKBC
#CodesZaKitaa^RZ
pwanifm (@pwanifm) 's Twitter Profile Photo

"LAZIMA MAADUI ZETU WOTE WATESEKE" Bien anawataka Wakenya kujitokeza na kuunga mkono Kenya watakapomenyana na DR Congo Jumapili tarehe 3 Agosti. #CHAN2024 #CHANikoKBC #CodesZaKitaa^RZ

"LAZIMA MAADUI ZETU WOTE WATESEKE"

Bien anawataka Wakenya kujitokeza na kuunga mkono Kenya watakapomenyana na DR Congo Jumapili tarehe 3 Agosti.
#CHAN2024
#CHANikoKBC
#CodesZaKitaa^RZ