G E N I U S(@professorIV01) 's Twitter Profileg
G E N I U S

@professorIV01

Simplicity Is Genius

ID:1670462156377145345

calendar_today18-06-2023 16:03:26

17,4K Tweets

4,9K Followers

2,4K Following

๐Ÿ“š(@bonifacejoseph_) 's Twitter Profile Photo

Kwa sasa tunapaswa kumaliza nafasi ya 8, ETH asiwe na michuano mingi next season, apate muda mwingi wa kutengeneza timu mpya

GGGMU ๐Ÿ’ช

account_circle
๐“๐ก๐ฎ๐  ๐‹๐ข๐Ÿ๐ž ๐Ÿค•(@zeelao_og_) 's Twitter Profile Photo

Akishashika iPhone macho matatu,
Akavaa na kitop kuonesha kitovu,
Mikucha kama fuko,
Bleach,
Kipini puani,
Na tatoo za kiunoni, kifuani au shingoni.

Huyo ni choo cha stand unalipia unakitumia unapita ivi๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ

account_circle
G E N I U S(@professorIV01) 's Twitter Profile Photo

'We're going to do our work today without support' tpo serious kabisa

Eti tpo na injury ya kocha ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ

account_circle
๐Ÿ“š(@bonifacejoseph_) 's Twitter Profile Photo

It's shame Andres Iniesta at 19 yrs own the one called the Greatest Midfielder ever in El Classico ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜‚

account_circle
The mandevu(@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Binafsi huwa namfwatilia sana Makonda, Jamaa hana muda wa kukaa ofisini kabisa ni yeye na watu kutatua changamoto nadhani viongozi wengine wajaribu kuiga katika yale mazuri anayoyafanya huyu Mwamba. Shout out kwake

Binafsi huwa namfwatilia sana Makonda, Jamaa hana muda wa kukaa ofisini kabisa ni yeye na watu kutatua changamoto nadhani viongozi wengine wajaribu kuiga katika yale mazuri anayoyafanya huyu Mwamba. Shout out kwake
account_circle
Black Dady(@UTDDady) 's Twitter Profile Photo

Sema usajili wa Donny van de Beek nao ulikuwa wa kitapeli bora angeenda team zingine huenda angefanikiwa.

Pale United kama kuna jini 'ua viwango' kila mchezaji akija flop.

Sema usajili wa Donny van de Beek nao ulikuwa wa kitapeli bora angeenda team zingine huenda angefanikiwa. Pale United kama kuna jini 'ua viwango' kila mchezaji akija flop.
account_circle
Headboy wa mtaa(@Sirajitz1) 's Twitter Profile Photo

Sema huyu jamaa ana moyo wa kipekee sana

Kwa hiki anachokifanya 2030 akichukua fomu lazima wananchi wote watampa tu ๐Ÿ™Œ

Cheki video chini ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ

Sema huyu jamaa ana moyo wa kipekee sana Kwa hiki anachokifanya 2030 akichukua fomu lazima wananchi wote watampa tu ๐Ÿ™Œ Cheki video chini ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
account_circle