๐๐‘๐ˆ๐’๐‚๐€ (@prisca0223) 's Twitter Profile
๐๐‘๐ˆ๐’๐‚๐€

@prisca0223

๐’๐ˆ๐‡๐€๐๐†๐€๐ˆ๐Š๐ˆ ๐๐€ ๐Œ๐€๐๐„๐๐™๐ˆ

ID: 1616125001618407424

calendar_today19-01-2023 17:27:26

1,1K Tweet

251 Takipรงi

80 Takip Edilen

BEBERU (@iambeberu) 's Twitter Profile Photo

Ukimchangamkia MTEJA kupita Kiasi Na Kujifanya Unamchagulia chagulia na Vitu ambavyo Hakukuuliza kuna chance Kubwa sana ya Kumpoteza.

Ayo Dimeji (@ayodimejitz) 's Twitter Profile Photo

BAKI NA HII ๐Ÿ‘‰ Hamu ya sex ya dakika chache inaweza kughalimu na kukufanya ulie maisha yako yote. Tuwe makini sana na vichocheo vya mwili. ๐Ÿ“Œ

NAOMI FUJO (@naomi_fujo) 's Twitter Profile Photo

Naomba Niwatakie Ramadhani Njema Ndugu Zangu Waislam Uwe Mwezi Wa Neema Kwenu!! Na Pia Ndugu Zangu Wa Kristo Kwaresma Njema Mungu Awasimamie Na Kuwaongoza!! Asubuhi Njema๐Ÿคฒ๐Ÿค๐Ÿ™๐Ÿฟ

โ—‹๐—™๐—™๐—œ๐—–๐—œ๐—”๐—Ÿ๐—งโ—‹๐— ๐— ๐—ฃ๐—”๐—ก๐—ง๐—›๐—˜๐—ฅ โ˜ช (@1tommpanther) 's Twitter Profile Photo

๐—Ÿ๐—ข๐—–๐—ž ๐—ฆ๐—–๐—ฅ๐—˜๐—˜๐—ก | ๐—›๐—ข๐— ๐—˜ ๐—ฆ๐—–๐—ฅ๐—˜๐—˜๐—ก ๐—ช๐—”๐—Ÿ๐—Ÿ๐—ฃ๐—”๐—ฃ๐—˜๐—ฅ ๐—ง๐—›๐—ฅ๐—˜๐—”๐—— ๐—Ÿ๐—˜๐—ง'๐—ฆ ๐—š๐—ข

๐—Ÿ๐—ข๐—–๐—ž ๐—ฆ๐—–๐—ฅ๐—˜๐—˜๐—ก | ๐—›๐—ข๐— ๐—˜ ๐—ฆ๐—–๐—ฅ๐—˜๐—˜๐—ก ๐—ช๐—”๐—Ÿ๐—Ÿ๐—ฃ๐—”๐—ฃ๐—˜๐—ฅ

๐—ง๐—›๐—ฅ๐—˜๐—”๐——

๐—Ÿ๐—˜๐—ง'๐—ฆ ๐—š๐—ข
sonnia๐ŸŒน (@femdysaidi) 's Twitter Profile Photo

God is good! -Leo ikawe siku ya Amani, na Mungu azidi kutupa afya na Kubariki kazi za mikono yetu.๐Ÿ™ -Huku amani ikiwa imegubika mioyo yetu isipokuwa kwa mashabiki wa man united.๐ŸŒ„

MUDI FOOD FACTORY (@mudimabiriani) 's Twitter Profile Photo

Ushawahi kumpenda msichana lakini kulingana na vile anareply text zako unaamua kuachana nae Kila saa "YEAH" ni kama unachat na travis Scott ๐Ÿ™„

๐๐‘๐ˆ๐’๐‚๐€ (@prisca0223) 's Twitter Profile Photo

Niliwahi kuambiwa Kubadilisha maisha sio rahisi kama kubadilisha channel kwenye TV. Kwenye TV unabonyeza remote tu, sekunde mbili tayari umehama kutoka drama kwenda mpira. Lakini kwenye maisha hakuna remote. Hakuna kitufe cha โ€œskipโ€, hakuna โ€œfast forwardโ€ n.k Maisha yanataka

๐๐‘๐ˆ๐’๐‚๐€ (@prisca0223) 's Twitter Profile Photo

Ni kuacha marafiki wanaokurudisha nyuma. Ni kuacha mazoea yanayokumaliza polepole. Ni kuanza kufanya vitu vinavyokuogopesha lakini vinakujenga. Mabadiliko yanaanza kimya kimya. Hakuna kelele. Hakuna makofi. Hakuna mashabiki. Ni wewe na vita yako ya ndani. Utaanza kuamka