PiliPili FM (@pilipilifm) 's Twitter Profile
PiliPili FM

@pilipilifm

Kenya’s fresh, modern and state of the art Swahili radio station. Mombasa 99.5FM Malindi 92.5FM. #MamboMotoMoto

ID: 477806259

linkhttp://www.pilipilifm.co.ke calendar_today29-01-2012 15:52:35

34,34K Tweet

3,3K Followers

32 Following

PiliPili FM (@pilipilifm) 's Twitter Profile Photo

#StateoftheNation @Uhuru_Kenyata Amesifia wanamichezo mbalimbali wanaoendelea kupeperusha bendera ya Kenya kwenye mataifa tofauti

PiliPili FM (@pilipilifm) 's Twitter Profile Photo

#StateoftheNation Mwaka 2019 tunaimani uchumi utakua kwa asilimia 6.3 hali itakayoboresha biashara na uwekezaji kwa taifa @Uhuru_Kenyata

PiliPili FM (@pilipilifm) 's Twitter Profile Photo

#StateoftheNation Huduma ya afya kwa wote itazidi kuwafikia wakenya wote ili kuboresha viwango vya afya nchini @Uhuru_Kenyata

PiliPili FM (@pilipilifm) 's Twitter Profile Photo

#StateoftheNation Mpango wa nyumba kwa wakenya ambazo ni za bei nafuu unaendelea ili kuwawezesha wakenya kupata makaazi bora @Uhuru_Kenyata

PiliPili FM (@pilipilifm) 's Twitter Profile Photo

#StateoftheNation Bado tunazingatia ruwaza ya mwaka 2030 lakini mpango wa 2018-2021 ni kuhakikisha ajenda kuu 4 za serikali zinatimizwa @Uhuru_Kenyata

PiliPili FM (@pilipilifm) 's Twitter Profile Photo

#StateoftheNation Reli ya kisasa ya Nairobi mpaka Naivasha iko katika asilimia 90 kukamilika huku Madaraka express ikiwa imesaidia sana kwa usafiri kutoka Mombasa hadi Nairobi.

PiliPili FM (@pilipilifm) 's Twitter Profile Photo

#StateoftheNation Ili kuboresha na kuzidisha uzalishaji wa chakula nchini tumejenga visima 4,400 chini ya mpango wa unyunyuziaji

PiliPili FM (@pilipilifm) 's Twitter Profile Photo

#StateoftheNation Serikali yangu inawakumbuka wafanyibiashara wadogo wadogo na kwa hivyo kuna mpango wakuzindua mpango wakuwassaidia kuboresha biashara zao. Kwani sekta hio imeajiri watu milioni 14.9.

PiliPili FM (@pilipilifm) 's Twitter Profile Photo

#StateoftheNation Hatuezi kurudi nyuma katika mpango wa kuunganisha wakenya na hatua yakujenga umoja na utangamano utaendelea @Uhuru_Kenyata

#StateoftheNation Hatuezi kurudi nyuma katika mpango wa kuunganisha wakenya na hatua yakujenga umoja na utangamano utaendelea @Uhuru_Kenyata
PiliPili FM (@pilipilifm) 's Twitter Profile Photo

#StateoftheNation Safari za moja kwa moja za ndege kutoka Kenya hadi Marekani zitapanua biashara baina ya mataifa haya mawili @Uhuru_Kenyata

PiliPili FM (@pilipilifm) 's Twitter Profile Photo

#StateoftheNation Wakati huo huo Raia Kenyatta ameitaka idara ya mahakama kuhakikisha wanaohusisha na ukiukaji wa sheria ndani ya idara hio kukabiliwa vilivyo.