#Powerpointz🦁 (@petermaengo_) 's Twitter Profile
#Powerpointz🦁

@petermaengo_

Mwana _retweet😅| Simba🦁

ID: 1027888056970428416

calendar_today10-08-2018 12:03:04

78,78K Tweet

1,1K Takipçi

264 Takip Edilen

𝗚𝗜𝗡𝗜𝗠𝗕𝗜 🦅 (@_ginimbi) 's Twitter Profile Photo

Mwanafunzi yeyote mwenye Cheti kilichoandikwa Joyce Ndalichako na saini yake huyo mwanafunzi jina lake linapaswa liandikwe kwa wino wa dhahabu katika Taifa letu.

Mwanafunzi yeyote mwenye Cheti kilichoandikwa Joyce Ndalichako  na saini yake huyo mwanafunzi jina lake linapaswa liandikwe kwa wino wa dhahabu katika Taifa letu.
Spana & V.A.R Movement (@spana_konki) 's Twitter Profile Photo

Ubaya ni kwamba wanaotajwa kuteuliwa na wale waliokatwa sio kwamba kuna tofauti wakishaanza majukumu. Wote ni sawa tuu, kula, kuiba, kutojali wananchi. Hawaendi kutumia akili zao bali mfumo wa hovyo na ajenda chafu kulingana na chama kitakavyoamua.

Emmanuel Mwita (@ej_mwita) 's Twitter Profile Photo

Anakatwa LUHANGA MPINA, Anapitishwa BABA LEVO. Mnajiuliza kwanini Profesa wa Sheria aliondolewa kutoka kuwa Waziri wa Katiba na Sheria alikomudu kwa mafanikio makubwa na kupelekwa kuwa Waziri wa MICHEZO. 😐

MIRIAM💜 (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Nasikia ilisisitizwa makabila haya matatu wasipewe Urais 😂🚶🏻‍♀️ Wanyakyusa Wachaga Wahaya Sijui muhasisi aliwaza nini🙌🏿

Nasikia ilisisitizwa makabila haya matatu wasipewe Urais 😂🚶🏻‍♀️

Wanyakyusa 
Wachaga 
Wahaya 

Sijui muhasisi aliwaza nini🙌🏿