Naridflower (@pearson_maua) 's Twitter Profile
Naridflower

@pearson_maua

Dedicated mother🤱|
Believer🙏|
Tutor|
Facilitator|
Mentor|
Counsellor|
Fan of Simba SC and Manchester United

ID: 2877956062

calendar_today15-11-2014 12:12:43

303 Tweet

336 Followers

995 Following

IN GOD WE TRUST⭐ (@mjombabobjunior) 's Twitter Profile Photo

Hakikisha haumuachi Mungu katika maisha yako , Kama unataka kuishi duniani Kama MTU mwenye akili . Maana kumcha bwana ndio chanzo cha maarifa 👌.

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Over the years, nimejifunza kuwa na mipango ya muda mfupi (Cashflow za mara kwa mara kukeep na bills) halafu ile ya muda mrefu, yaani mshindo mkubwa, hata kama itachukua 5-10 years ku mature. Mipango ya hela ya kula na mipango ya kutusua kimaisha.

MS.VERSATILE🎹(WINGA WA CHINA🫰) (@am_nice04) 's Twitter Profile Photo

Sema nyuma ya hizi accounts watu wengi wanapitia depression na hawajui watu wa kuwaambia wengine wanatamani kupata chance ya kurekebisha matatizo yaliyotokea nyuma but haiwezekan tena.... Maombi will do 🤌

Ena&CocoInParis (@enamalisa) 's Twitter Profile Photo

Build a community!!! Of people, of friends, As early as possible. Showup to other peoples events, support it like your own, seek genuine advises, Be human too, let yourself go, apologize but forgive yourself too. Life is a series of events, Take control of the script sometimes.

CoCo🍫💦 (@yourfrenchfry) 's Twitter Profile Photo

Wajibisheni watoto wakikosea ili wajue kwenye maisha kuna kitu kinaitwa consequences. Hold them accountable! Tunakutana na watu wa hovyo sana huku utu uzimani concept ya consequences ni very foreign! Hawajazoea uwajibikaji!

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

UMEOA? Jivunie mkeo/mwanamke wako, 'Feel Proud Of Your WIFE' na kamwe usione hatari kumsifu mbele ya Macho yake, usijiulize mara MBILI kusema "NAKUPENDA MKE/MPENZI WANGU MZURI" Tambua, amefanya maamuzi ya kusafiri na wewe kwenye safari ndefu ya maisha; hakuona mwingine huko

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Kitu napenda, bado jamii yetu inaheshimu watu wenye familia, achana na wahuni wanataka kutuchanganya. Their fav political leaders wana familia, Their Fav Religious leaders (Achana na Catholic) wana familia, Waganga wao wana familia, Their role models wengi wana Familia.

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Kuna ile nafsi ya kuogopa kuwa responsible for your own actions, mbaya sana, na ile ya kujiona hukosei, ila ya kujiona hustahili kukosolewa, ile ya kujiona you can speak anything bila consequences, roho ya kukataa kujisusha na kujaa kiburi. Kemea sana hizi dalili za anguko lako.

m.s.a.k.i+ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Zima data toka humu kidogo nenda nje salimia ndugu na jamaa kidogo. Take some break alafu ishi ile real life kidogo sio muda wote upo mitandaoni tu.

𝖅𝖚𝖇𝖇𝖞 (@zubbysakuru) 's Twitter Profile Photo

Thank you everyone for all the support and messages as I embark on this new journey . I am overwhelmed with gratitude. Nawashukuru sana. Simba Sports Club is home to me , thank you 🙏

Thank you everyone for all the support and messages as I embark on this new journey . I am overwhelmed with gratitude. Nawashukuru sana.  <a href="/SimbaSCTanzania/">Simba Sports Club</a> is home to me , thank you 🙏
Rwanda Centre for the Fourth Industrial Revolution (@c4ir_rw) 's Twitter Profile Photo

📢Leading expert on AI research & innovation, Dr. James Manyika (SVP Google & Alphabet President for Research, Labs, Tech & Society), will co-chair the Global AI Summit on Africa that will be held 3 – 4 April in Kigali, Rwanda. Learn more about the summit c4ir.rw/global-ai-summ…