Deusdedit Peter Mlay (@pdmlay) 's Twitter Profile
Deusdedit Peter Mlay

@pdmlay

Future is highly predicted by your expectations

ID: 3408849189

calendar_today08-08-2015 17:22:28

361 Tweet

133 Followers

1,1K Following

Wizara ya Kilimo (@wizarakilimo) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameongoza kikao cha pamoja na Waagizaji wa mbolea nchini, Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea TFRA) na Wataalam wa Wizara ya Kilimo katika maandalizi ya mpango wa kutoa ruzuku ya mbolea katika msimu ujao wa kilimo. #Ajenda10/30 #KilimoNiBiashara

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameongoza kikao cha pamoja na Waagizaji wa mbolea nchini, Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea TFRA) na Wataalam wa Wizara ya Kilimo katika maandalizi ya mpango wa kutoa ruzuku ya mbolea katika msimu ujao wa kilimo.
#Ajenda10/30 #KilimoNiBiashara
DigitalNurse_tz๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@nursenyagawa) 's Twitter Profile Photo

Ndugu msomaji naomba retweet yako, jisikie huru kuuliza maswali au kutoa maoni uliyo nayo.Kama una shida nicheki wa.me/255655862858 -DIGITAL NURSE-

Jenerali Ulimwengu (@raiyajenerali) 's Twitter Profile Photo

Kadri tunavyozidi kuishi ndivyo tujitahidi kupunguza uongo tuliomezeshwa kwa muda mrefu sasa. Kwa mfano kuna ofisi inayoitwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli tunaye mtu kama huyo, au tuliye naye ni Waziri Mkuu wa Tanganyika ru? Tufikiri kidogo, tutaona.

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 30th jumla ya minada sita ya korosho imefanyika jumla ya Kilo 23,228,642 zimepelekwa minadani ,Wakulima wameuza jumla kilo 16,360,726 . Bei ya juu ni 2,200 na bei ya chini ya wastani 1800 kwa kilo Wiki ya kwanza bei ambazo wakulima walikataa ilikua 2,220 kwa 1,480 .

SmartChannel_Tv (@smartchannel_tv) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akiwa katika ziara ya kikazi mkoni Ruvuma amekagua mradi wa ujenzi wa skimu ya umwagiliaji katika kata ya Muhukuru wilaya ya Songea na kutoridhishwa na kusuasua kwa ujenzi huo.

BarbieGirlโ€ 11:11๐ŸŒธ (@iamdoll__) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 1999, mwandishi wa habari alimuita Mwanamuziki wa Pop;Bob Geldof na kufanya interview kuhusu muziki wake, maisha kwa ujumla, na aliongea maneno mengi sana kuhusu Teknolojia(Especially Simu). RT&LIKE&COMMENT&FOLLOW ME I FOLLOW BACK Twende pamoja na Mdogo wenu wa 2000s..โœ๏ธ๐Ÿ‘‡

Mwaka 1999, mwandishi wa habari alimuita Mwanamuziki wa Pop;Bob Geldof na kufanya interview kuhusu muziki wake, maisha kwa ujumla, na aliongea maneno mengi sana kuhusu Teknolojia(Especially Simu).

RT&LIKE&COMMENT&FOLLOW ME I FOLLOW BACK Twende pamoja na Mdogo wenu wa 2000s..โœ๏ธ๐Ÿ‘‡
K I B A B I (@dullykiba) 's Twitter Profile Photo

JE USHAWAHI KUJIULIZA NI NAMNA GANI FORENSIC INVESTIGATORS WANAWEZA KUKADIRIA HUYU MTU AMEFARIKI MDA GANI..?. Ambatana na Mimi katika Uzi Huu...Usisahau kuretweet kwa manufaa ya wengi zaidi. Na usisahau Kunifollow for More Updates. POSTMORTEM CHANGES....๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ”ž

JE USHAWAHI KUJIULIZA NI NAMNA GANI FORENSIC INVESTIGATORS WANAWEZA KUKADIRIA HUYU MTU AMEFARIKI MDA GANI..?.

Ambatana na Mimi katika Uzi Huu...Usisahau kuretweet kwa manufaa ya wengi zaidi.

Na usisahau Kunifollow for More Updates.

POSTMORTEM CHANGES....๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ”ž
Right Cohen ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ (@rightcohen) 's Twitter Profile Photo

FARMING LESSON: MULCHING: Mulching is the process of covering the soil surface around the plants with either organic or inorganic materials. In this TWEET-THREAD, we are going to talk about MULCHING in details (Types, Importance and Rules of Mulching). THREAD: 1/15.

FARMING LESSON:

MULCHING:
Mulching is the process of covering the soil surface around the plants with either organic or inorganic materials.

In this TWEET-THREAD, we are going to talk about MULCHING in details (Types, Importance and Rules of Mulching).

THREAD: 1/15.