Paul wa esirulo(team player) (@paul_ekhuya) 's Twitter Profile
Paul wa esirulo(team player)

@paul_ekhuya

Paul wa esirulo

ID: 1477273925994393603

calendar_today01-01-2022 13:43:06

6,6K Tweet

667 Takipçi

1,1K Takip Edilen

Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Karibu ndani ya #GoodEveningKenya ukiwa nami jizee la porojo Kamau Munyua . Je, siku yako imekua vipi ? Na unasikiliza kipindi ukiwa wapi ? #GoodEveningKenya #RadioNumberOne

Karibu ndani ya #GoodEveningKenya ukiwa nami jizee la porojo Kamau Munyua . Je, siku yako imekua vipi ? Na unasikiliza kipindi ukiwa wapi ?

#GoodEveningKenya 
#RadioNumberOne
Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Leo hii katika darubini ya afya tunaye Dr. Jerry Okello atakaye kuwa akitueleza zaidi kuhusu jinsi ya kudumisha afya bora. Je, unasikiliza kipindi ukiwa wapi na ungependa kufahamu nini kutoka kwake ? Kamau Munyua Jina Kubwa #GoodEveningKenya #RadioNumberOne

Leo hii katika darubini ya afya tunaye Dr. Jerry Okello atakaye kuwa akitueleza zaidi kuhusu jinsi ya kudumisha afya bora. Je, unasikiliza kipindi ukiwa wapi na ungependa kufahamu nini kutoka kwake ?

Kamau Munyua Jina Kubwa 

#GoodEveningKenya
#RadioNumberOne
Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Mibibi na mijizee, ni wakati sasa wa #Porojo ndani ya #GoodEveningKenya ukiwa nami Kamau Munyua . Je, umeshindaje leo hii ? #GoodEveningKenya #RadioNumberOne

Mibibi na mijizee, ni wakati sasa wa #Porojo ndani ya #GoodEveningKenya ukiwa nami Kamau Munyua . Je, umeshindaje leo hii ?

#GoodEveningKenya
#RadioNumberOne
Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Mpango mzima wa #GoodEveningKenya ushang'oa nanga ukiwa na Kamau Munyua . Je, wikendi yako ilikuaje na unasikiliza kipindi ukiwa wapi ? #GoodEveningKenya #RadioNumberOne

Mpango mzima wa #GoodEveningKenya ushang'oa nanga ukiwa na Kamau Munyua . Je, wikendi yako ilikuaje na unasikiliza kipindi ukiwa wapi ?

#GoodEveningKenya 
#RadioNumberOne