lema (@patrick12534307) 's Twitter Profile
lema

@patrick12534307

💣👊🏾👊🏾

ID: 1235843905259573248

calendar_today06-03-2020 08:25:45

232 Tweet

139 Followers

1,1K Following

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Ukweli mchungu ambao hukufundishwa shule na hutokuja kufundishwa. Tulipotoka; Tulipo; Na Tunapoelekea. Miaka 100 ya historia ya Fedha na Uchumi wa dunia. In a Nutshell🧵

Ukweli mchungu ambao hukufundishwa shule na hutokuja kufundishwa.

Tulipotoka; Tulipo; Na Tunapoelekea. Miaka 100 ya historia ya Fedha na Uchumi wa dunia.

In a Nutshell🧵
SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Jan 7 mwaka 1943 katika chumba kidogo wake umekufa ulikutwa umekufa. FBI walifika ndani ya dakika 30 na kuchukua kila kitu walichokuta. Kabla ya kifo chake aliishi kinyonge, akiwa mpweke, afya mbovu na fukara. Nini kilimtokea mwanasayansi NIKOLA TESLA. 🧵In a nutshell

Jan 7 mwaka 1943 katika chumba kidogo wake umekufa ulikutwa umekufa. FBI walifika ndani ya dakika 30 na kuchukua kila kitu walichokuta.

Kabla ya kifo chake aliishi kinyonge, akiwa mpweke, afya mbovu na fukara.

Nini kilimtokea mwanasayansi NIKOLA TESLA.

🧵In a nutshell
SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

8/Kampuni ya umeme kubwa zaidi duniani ya Edison Company ikapata taarifa za Tesla, wakampandia dau, wakamchomoa Budapest Telegram na kumwajiri kwenye HQ yao ya Hungary🇭🇺 Akiwa pale alifanya maajabu hadi wakasema huyu dogo hatakiwi kuwa huku uchochoroni, anabidi afikishwe USA🇺🇸

Coxstore  (@coxstoretz) 's Twitter Profile Photo

🦅HAWA JAMAA HUA WANAKUPIGANIA VITA MTANDAONI KILA SEKUNDE TANZANIA 🇹🇿 ! Hivi unajua kwamba hacking nyingi sana hutokea kipindi vyuo vingi vya bara la America,Asia na Ulaya vikiwa vimefungwa ? Wanafunzi wanakua wanafanya mazoezi ya ku hack mifumo mbalimbali duniani

🦅HAWA JAMAA HUA WANAKUPIGANIA VITA MTANDAONI KILA SEKUNDE TANZANIA 🇹🇿 !

Hivi unajua kwamba hacking nyingi sana hutokea kipindi vyuo vingi vya bara la America,Asia na Ulaya vikiwa vimefungwa ? Wanafunzi wanakua wanafanya mazoezi ya ku hack mifumo mbalimbali duniani
Coxstore  (@coxstoretz) 's Twitter Profile Photo

🦅NAMNA YA KUJITOA KAMA KUNA MTU KAKU HACK SIMU YAKO ⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️📚📚📚📚 Dalili za kujua kama umekua hacked ni kama -uwepo wa apps ambazo hujaziweka -emails na texts kutoka sehemu usizozijua -kuongezeka kwa matumizi ya bundle -pop up’s na issue za performance ya simu

🦅NAMNA YA KUJITOA KAMA KUNA MTU KAKU HACK SIMU YAKO ⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️📚📚📚📚

Dalili za kujua kama umekua hacked ni kama 
-uwepo wa apps ambazo hujaziweka
-emails na texts kutoka sehemu usizozijua
-kuongezeka kwa matumizi ya bundle 
-pop up’s na issue za performance ya simu
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

💨 NAMNA YA KUIFANYA TV YAKO IWE KAMA SMART TV Ishi Kama Pro na Tv la chogo 😁 kuna hii device XIAOMI TV STICK inaipa Tv yako uwezo wa kupata huduma za YouTube, Netflix, Playstore n.k Na kubwa kuliko unaweza icommand Tv yako kwa sauti na pia kui Chromecast na simu yako pale👇

💨 NAMNA YA KUIFANYA TV YAKO IWE KAMA SMART TV

Ishi Kama Pro na Tv la chogo 😁 kuna hii device XIAOMI TV STICK inaipa Tv yako uwezo wa kupata huduma za YouTube, Netflix, Playstore n.k

Na kubwa kuliko unaweza icommand Tv yako kwa sauti na pia kui Chromecast na simu yako pale👇
Coxstore  (@coxstoretz) 's Twitter Profile Photo

🦅SABABU ZA KUKUSHAWISHI UTUMIE WINDOWS 11⚡️⚡️⚡️📚📚📚 1.MUONEKANO WAKE UNAVUTIA SANA Kwa mara ya kwanza watumiaji wa microsoft windows hawata tamani tena watumiaji wa os zingine kama Mac OS au Chrome OS user interfaces kwa kweli ina muonekano mzuri na wakuvutia sana 👍👍👍

🦅SABABU ZA KUKUSHAWISHI UTUMIE WINDOWS 11⚡️⚡️⚡️📚📚📚

1.MUONEKANO WAKE UNAVUTIA SANA

Kwa mara ya kwanza watumiaji wa microsoft windows hawata tamani tena watumiaji wa os zingine kama Mac OS au Chrome OS user interfaces kwa kweli ina muonekano mzuri na wakuvutia sana 👍👍👍
AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Je Siri ya MAFANIKIO ni Ipi?... . Hili ndilo Jibu la “Socrates” Baada ya Kuulizwa hilo Swali na Kijana wa Miaka 21... . Ilikuwa ni Miaka 379 BC... . Alitokea Kijana mmoja Smart na Jasiri sana mwenye Miaka 21... . Siku moja alimfuata Socrates...👇🏻

intelligencefx (@intelligencefx) 's Twitter Profile Photo

Trader umewah kuwa interested kujiunga au kufaham na Proprietary trading firm (Funding company) kama Ftmo , Mff , 5ers, Topsteps, Fidelcrest, surget trader, audacity capital na nyingine nyingi sana Soma hii thread 👇👇

Trader umewah kuwa interested kujiunga au kufaham na Proprietary trading firm (Funding company) kama Ftmo , Mff , 5ers, Topsteps, Fidelcrest, surget trader, audacity capital na nyingine nyingi sana

Soma hii thread 👇👇
Essential Mastery (@essentialmastry) 's Twitter Profile Photo

7 Must-Read Books: 1. The Alchemist by Paulo Coelho 2. The Art of War by Sun Tzu 3. The Psychology Of Money 4. The Great Mental Models 5. The 48 Laws of Power 6. The Daily Stoic 7. Atomic Habits 8. Deep Work Which books will you add?

Coxstore  (@coxstoretz) 's Twitter Profile Photo

🦅ZIJUE MAANA ZA ALAMA TOFAUTI TOFAUTI ZA MITANDAO YA SIMU 📚📚📚 (G, E, 3G, H/H+, 4G, 5G, VoLTE) Hizi alama najua umewahi kuziona sana kwenye simu unapokua maeneo tofauti tofauti ya dunia na una uzoefu na speed ya ya internet kutokana na alama husika iliyopo

🦅ZIJUE MAANA ZA ALAMA TOFAUTI TOFAUTI ZA MITANDAO YA SIMU 📚📚📚

(G, E, 3G, H/H+, 4G, 5G, VoLTE)

Hizi alama najua umewahi kuziona sana kwenye simu unapokua maeneo tofauti tofauti ya dunia na una uzoefu na speed ya ya internet kutokana na alama husika iliyopo
AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Usione Aibu Kuvaa Nguo Moja Sasahivi Kisa Unatumia Hela zako Kuwekeza Kwenye KNOWLEDGE & SKILLS... . Kwasababu baadae Hiyo Knowledge & Skill itakupa Kila Aina ya Nguo Unahitaji . Endelea Kuwekeza Kichwani mwako—you’re on the right track KING💪