Mwenyeji (@papaamandevu) 's Twitter Profile
Mwenyeji

@papaamandevu

Am not genius am using common Sense.!
I believe in God
#YNWA #STRIVEFORGREATNESS #DAIMAMBELENYUMAMWIKO

ID: 1207598497

calendar_today22-02-2013 09:32:59

48,48K Tweet

15,15K Takipรงi

10,10K Takip Edilen

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Kazi ya kuandaa kikosi cha Ubingwa 2025/26 imeanza๐Ÿ”ฐ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ ๐“๐ซ๐š๐ข๐ง๐ข๐ง๐  ๐Š๐ข๐ญ๐ฌ ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ“/๐Ÿ๐Ÿ”๐ŸŸก #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Kazi ya kuandaa kikosi cha Ubingwa 2025/26 imeanza๐Ÿ”ฐ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ

๐“๐ซ๐š๐ข๐ง๐ข๐ง๐  ๐Š๐ข๐ญ๐ฌ ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ“/๐Ÿ๐Ÿ”๐ŸŸก

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
NjoNjo Jr (@juneidylipiki) 's Twitter Profile Photo

Roho mbaya inafanya uwe kipofu hata kama mboni zako zinaona. Unamfanyia mateso mdada wa kazi ila ndio huyo huyo unamtegemea apike vizuri kwa ajili ya afya yako na ya watoto wako, huyo huyo ndio mnamuachia mali zenu za thamani anabakia nazo siku nzima. Inafikirisha๐Ÿค”

Mwenyeji (@papaamandevu) 's Twitter Profile Photo

CCM wanamichezo sana hasa ikifika kipindi cha UCHAGUZI MKUU..,sinema zinakuwa nyingi mno..! Na moja ya michezo ni hii ya mpina kwenda ACT WAZALENDO

Mwenyeji (@papaamandevu) 's Twitter Profile Photo

Kuna siku niliuliza utani wa yanga na Simba ulianzia wapi??? History zao sioni kama walifaa kuwa watani wa jadi, narudia sioni kabisa kama yanga na simba walifaa kuwa watani wa jadi..! KUPITIA 'UTANI MAANDAZI' WATU WANAENDA KIDHARIRISHWA KWA MAMBO YASIYOKUWA NA MSINGI WOWOTE

NjoNjo Jr (@juneidylipiki) 's Twitter Profile Photo

Amini ninacho kwambia, Ndoto za watu wengi unazo ziona zinapendeza na kung'aa. Mwanzo wa ndoto hizo zilianza kama ndoto zako tu, waliziota zikiwa hazina rangi wala mng'ao ila walipo amka walichukua maamuzi ya kuzipaka rangi ndoto zao. Muda ni sasa amka upake rangi ndoto zako.