๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ  (@paka2104) 's Twitter Profile
๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ 

@paka2104

แฅซแญก Highly Favoured แฅซแญก

ID: 1372954017643556864

calendar_today19-03-2021 16:52:26

4,4K Tweet

4,4K Takipรงi

650 Takip Edilen

๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ  (@paka2104) 's Twitter Profile Photo

NENO LA ASUBUHI: Zaburi 89:13 Mkono wako ni mkono wenye uweza Mkono wako una nguvu Mkono wako wa kuume umetukuka Ndugu yangu hata kama moyo wako unaugua na taabu basi mweleze Bwanaโœจ๐Ÿ™

๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ  (@paka2104) 's Twitter Profile Photo

NENO LA ASUBUHI:103:2 Barikiwa Bwana ee nafsi yangu na kumsitu Bwana kwa yote aliyoyafanya Hivyo Shukrani kwa Mungu Baba" ni njia ya kutoa sifa kwa Mungu kwa kuwa mwema na mwenye huruma kwetu

๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ  (@paka2104) 's Twitter Profile Photo

NENO LA ASUBUHI:Wakorintho 15:57-58 Lakini Mungu ashukuriwe Yeye anatupa tia ushindi kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristoย Kwa hiyo ndugu zangu simameni imara Msitikisike Mzidi sana kujitoa kwa ajili ya kazi ya Bwana kwa maana mnajua ya kuwa juhudi yenu si bure katika Bwanaโœจ๐Ÿ™

Zature (@iamzature) 's Twitter Profile Photo

๐ŸŽ‰ Ni Baraka kwa siku nyingine, mwaka mwingine, na fursa nyingine! Asante kwa kila mmoja, tuko pamoja, Heri ya Krisimasi! ๐Ÿฅณโค๏ธ Nakupenda ๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ  ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ

Zature (@iamzature) 's Twitter Profile Photo

๐ŸŽ‰ Grateful for another day, another year, and another chance to embrace life! Thank you to everyone who has been part of my journey. Hereโ€™s to making more beautiful memories together! ๐Ÿฅณโค๏ธ ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ ๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ  ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ

๐ŸŽ‰ Grateful for another day, another year, and another chance to embrace life! Thank you to everyone who has been part of my journey. Hereโ€™s to making more beautiful memories together! ๐Ÿฅณโค๏ธ

๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ <a href="/paka2104/">๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ </a> ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ  (@paka2104) 's Twitter Profile Photo

Heri ya siku ya kuzaliwa mahi wangu Zature mwaka huu ukulete karibu na ndoto zako na kukupa furaha upendo usio na mwisho na mafanikio ambayo moyo wako unatamani ๐Ÿคฒ Nakupenda zaidi ya maneno yanavyoweza kueleza โœจโค๏ธโค๏ธ๐ŸŒน.

Heri ya siku ya kuzaliwa mahi wangu <a href="/iamZature/">Zature</a> mwaka huu ukulete karibu na ndoto zako na kukupa furaha upendo usio na mwisho na mafanikio ambayo moyo wako unatamani ๐Ÿคฒ 

Nakupenda zaidi ya maneno yanavyoweza kueleza โœจโค๏ธโค๏ธ๐ŸŒน.
๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ  (@paka2104) 's Twitter Profile Photo

I am so lucky to have you as my friend hope your Birthday is as special as you are May God grant all your wishes and all of your dreams come true Thanks for being such a great friend I love you so muchโœจโค๏ธ Tina Nyambo

I am so lucky to have you as my friend hope your Birthday is as special as you are May God grant all your wishes and all of your dreams come true Thanks for being such a great friend I love you so muchโœจโค๏ธ <a href="/NyamboTina/">Tina Nyambo</a>