OYE Kenya (@oyeapp_ke) 's Twitter Profile
OYE Kenya

@oyeapp_ke

The 1st 'Boda Boda' loyalty platform transforming lives through wealth creation and protection.

ID: 1755537886802259968

linkhttp://oye.ke calendar_today08-02-2024 10:25:08

724 Tweet

118 Takipçi

133 Takip Edilen

NTSA KENYA (@ntsa_kenya) 's Twitter Profile Photo

🟨➡️ Don’t erase our future—indicate, check mirrors, and keep to your lane. Small habits, huge impact. #tuvukesalama #UsalamaBarabarani #KeepYourLane #ShareTheRoad #NTSA #Kenya

🟨➡️ Don’t erase our future—indicate, check mirrors, and keep to your lane. Small habits, huge impact.

#tuvukesalama #UsalamaBarabarani #KeepYourLane #ShareTheRoad #NTSA #Kenya
OYE Kenya (@oyeapp_ke) 's Twitter Profile Photo

Always observe road signs, zinaongea na wewe bila maneno, zinakuambia ni wapi usimame, upunguze speed ama wapi kuna bump. Zirespect kila time. #OYEKenya #TheBodaCompany #UsalamaBarabarani

Always observe road signs, zinaongea na wewe bila maneno, zinakuambia ni wapi usimame, upunguze speed ama wapi kuna bump. Zirespect kila time.

#OYEKenya #TheBodaCompany #UsalamaBarabarani
OYE Kenya (@oyeapp_ke) 's Twitter Profile Photo

If you feel tired or unwell, take a break until you’re okay, riding tired ama ukiwa mgonjwa huweka maisha yako na ya wengine hatarini. #OYEKenya #TheBodaCompany #UsalamaBarabarani

If you feel tired or unwell, take a break until you’re okay, riding tired ama ukiwa mgonjwa huweka maisha yako na ya wengine hatarini.

#OYEKenya #TheBodaCompany #UsalamaBarabarani
Road Sense Kenya - RSK (@roadsensekenya) 's Twitter Profile Photo

🚦 Defensive Driving Tips. #MakinikaBarabarani #RoadSafety #DefensiveDriving ▪️MCAS | Man City | Safaricom | #SultanaFarida | Rashford | Frankfurt

OYE Kenya (@oyeapp_ke) 's Twitter Profile Photo

Kuride kwa blindspot ya gari, hasa trucks, ni hatari sana. Kama huoni dereva kwa side mirror yake, be sure that hakuoni pia. Be visible, be safe. #OYEKenya #TheBodaCompany #UsalamaBarabarani

Kuride kwa blindspot ya gari, hasa trucks, ni hatari sana. Kama huoni dereva kwa side mirror yake, be sure that hakuoni pia. Be visible, be safe.

#OYEKenya #TheBodaCompany #UsalamaBarabarani
OYE Kenya (@oyeapp_ke) 's Twitter Profile Photo

Usipark anywhere kumeandikwa “No Motorcycle Parking” ama “No Parking”. Itakusaidia kuepauka fines na kuenda kinyume na sheria #OYEKenya #TheBodaCompany #UsalamaBarabarani

Usipark anywhere kumeandikwa “No Motorcycle Parking” ama “No Parking”. Itakusaidia kuepauka fines na kuenda kinyume na sheria 

#OYEKenya #TheBodaCompany #UsalamaBarabarani
OYE Kenya (@oyeapp_ke) 's Twitter Profile Photo

Yesterday, our CEO, Kevin Mutiso joined Dorah and Rashid on Zinga for a conversation on “Sheria Mpya za Wanabodaboda.” During the discussion, he unpacked the new regulations affecting the boda boda sector and what they mean for the riders. #OYEKenya #TheBodaCompany #Mobility

Yesterday, our CEO, Kevin Mutiso joined Dorah and Rashid on Zinga for a conversation on “Sheria Mpya za Wanabodaboda.” 

During the discussion, he unpacked the new regulations affecting the boda boda sector and what they mean for the riders. 

#OYEKenya #TheBodaCompany #Mobility
OYE Kenya (@oyeapp_ke) 's Twitter Profile Photo

We’re excited to share that OYE has been selected among the Top 10 startups in the Safaricom Spark Accelerator Program Cohort 2 🎉🚀 A huge thank you to Safaricom PLC , M-PESA Africa iHUB and all partners for this opportunity #OYEKenya #TheBodaCompany #SparkAccelerator

We’re excited to share that OYE has been selected among the Top 10 startups in the Safaricom Spark Accelerator Program Cohort 2 🎉🚀

A huge thank you to <a href="/SafaricomPLC/">Safaricom PLC</a> , <a href="/MPESAAfrica/">M-PESA Africa</a> <a href="/iHub/">iHUB</a> and all partners for this opportunity

#OYEKenya #TheBodaCompany #SparkAccelerator
OYE Kenya (@oyeapp_ke) 's Twitter Profile Photo

Happy Customer Service Week 2025! 🎉 This year’s theme “Mission: Possible” reminds us that with teamwork and commitment, every customer challenge can be turned into a success story. To our frontline heroes who make it happen every day we appreciate you, and we celebrate you.

Happy Customer Service Week 2025! 🎉

This year’s theme “Mission: Possible” reminds us that with teamwork and commitment, every customer challenge can be turned into a success story.

To our frontline heroes who make it happen every day we appreciate you, and we celebrate you.
OYE Kenya (@oyeapp_ke) 's Twitter Profile Photo

Happy Mazingira Day! This day , let’s stand for our environment, conserve our resources, protect nature, and ensure a cleaner, sustainable future for generations ahead. 🌿 #OYEKenya #TheBodaCompany #MazingiraDay #RideGreen

Happy Mazingira Day!

This day , let’s stand for our environment, conserve our resources, protect nature, and ensure a cleaner, sustainable future for generations ahead. 🌿

#OYEKenya #TheBodaCompany #MazingiraDay #RideGreen
Road Sense Kenya - RSK (@roadsensekenya) 's Twitter Profile Photo

💯... When walking or jogging, always face oncoming traffic whenever possible. This allows you to see approaching vehicles clearly and react quickly if necessary. Also, stay on the sidewalk or shoulder when available. #MakinikaBarabarani

OYE Kenya (@oyeapp_ke) 's Twitter Profile Photo

Baada ya ajali, usivue helmet mara moja, unless inakuzuia kupumua. Kuivua kunaweza kuongeza majeraha. #OYEKenya #TheBodaCompany #UsalamaBarabarani

Baada ya ajali, usivue helmet mara moja, unless inakuzuia kupumua. Kuivua kunaweza kuongeza majeraha.
 
#OYEKenya #TheBodaCompany #UsalamaBarabarani
OYE Kenya (@oyeapp_ke) 's Twitter Profile Photo

Baada ya ajali, kagua hali ya wengine waliohusika. Angalia kama wako sawa au wanahitaji msaada, lakini usiondoke mahali pa accident hadi hali iwe salama. #OYEKenya #TheBodaCompany #UsalamaBarabarani

Baada ya ajali, kagua hali ya wengine waliohusika. Angalia kama wako sawa au wanahitaji msaada, lakini usiondoke mahali pa accident hadi hali iwe salama. 

#OYEKenya #TheBodaCompany #UsalamaBarabarani
OYE Kenya (@oyeapp_ke) 's Twitter Profile Photo

Toa huduma ya kwanza kwa waliojeruhiwa kama unaweza, bila kujaribu kuhamisha mtu aliyeumia vibaya. Lengo ni kupunguza uchungu hadi medical personel wafike. #OYEKenya #TheBodaCompany #UsalamaBarabarani

Toa huduma ya kwanza kwa waliojeruhiwa kama unaweza, bila kujaribu kuhamisha mtu aliyeumia vibaya. Lengo ni kupunguza uchungu hadi medical personel wafike.

#OYEKenya #TheBodaCompany #UsalamaBarabarani
OYE Kenya (@oyeapp_ke) 's Twitter Profile Photo

Tunawasherehekea boda riders wetu wanaojituma kila siku kwa bidii na moyo wa kusaidia jamii. Kazi yenu ina maana kubwa, na tunawatambua! Happy Mashujaa Day to all our everyday heroes! #OYEKenya #TheBodaCompany #MashujaaDay

Tunawasherehekea boda riders wetu wanaojituma kila siku kwa bidii na moyo wa kusaidia jamii. Kazi yenu ina maana kubwa, na tunawatambua! 

Happy Mashujaa Day to all our everyday heroes!

#OYEKenya #TheBodaCompany #MashujaaDay
OYE Kenya (@oyeapp_ke) 's Twitter Profile Photo

Weka Emergency Sign au matawi mbele na nyuma ya accident ili kuwatahadharisha madereva wengine. Hii husaidia kuzuia ajali zaidi na kulinda wote mlio eneo hilo. #OYEKenya #TheBodaCompany #UsalamaBarabarani

Weka Emergency Sign au matawi mbele na nyuma ya accident ili kuwatahadharisha madereva wengine. Hii husaidia kuzuia ajali zaidi na kulinda wote mlio eneo hilo.

#OYEKenya #TheBodaCompany #UsalamaBarabarani