Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu (@owm_sbu) 's Twitter Profile
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu

@owm_sbu

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera.Bunge na Uratibu
S.L.P 980 DODOMA, Tanzania
[email protected]

ID: 1508515294200877063

linkhttp://www.pmo.go.tz calendar_today28-03-2022 18:45:04

3,3K Tweet

1,1K Followers

46 Following

Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu (@owm_sbu) 's Twitter Profile Photo

DKT. YONAZI AONGOZA KIKAO MAANDALIZI YA MAZISHI YA HAYATI CLEOPA MSUYA Matukio katka picha kikao cha Kamati Tendaji ya Maandalizi ya Mazishi y Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya kilichofanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam.

DKT. YONAZI AONGOZA KIKAO MAANDALIZI YA MAZISHI YA HAYATI CLEOPA MSUYA

Matukio katka picha kikao cha Kamati Tendaji ya Maandalizi ya Mazishi y Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya kilichofanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam.
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu (@owm_sbu) 's Twitter Profile Photo

MATUKIO KATIKA PICHA MSIBANI KWA HAYATI CLEOPA MSUYA DAR ES SAALAAM Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (SBU) Dkt. Jim Yonazi akitoa pole kwa wafiwa msibani kwa Hayati Cleopa Msuya, Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu nyumbani kwake Upanga Jijini Dar es Salaam.

MATUKIO KATIKA PICHA MSIBANI KWA HAYATI CLEOPA MSUYA DAR ES SAALAAM

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (SBU) Dkt. <a href="/yonazijim/">Jim Yonazi</a> akitoa pole kwa wafiwa msibani kwa Hayati Cleopa Msuya, Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu nyumbani kwake Upanga Jijini Dar es Salaam.
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu (@owm_sbu) 's Twitter Profile Photo

Ibada Maalumu ya mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya... instagram.com/p/DJluuC6KM5-/…

Ibada Maalumu ya mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya...

instagram.com/p/DJluuC6KM5-/…
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Profesa Peter Lawrence Makenga Msoffe kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025. Rais wa Jamhuri ya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Profesa Peter Lawrence Makenga Msoffe kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa kumbukumbu pamoja na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye kabla ya ufunguzi wa Kiwanda cha mbolea cha ITRACOM Fertilizers Limited kilichopo Nala, Jijini Dodoma, tarehe 28 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa kumbukumbu pamoja na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye kabla ya ufunguzi wa Kiwanda cha mbolea cha ITRACOM Fertilizers Limited kilichopo Nala, Jijini Dodoma, tarehe 28 Juni, 2025.